Halotel sasa mlikofikia mtabaki na Mkurugenzi pekee

Halotel sasa mlikofikia mtabaki na Mkurugenzi pekee

Hivi hawa Halotel nyie hamjawagundua kuwa siku zote kunapokuwa na mvua mtandao wao huwa una shida sana?Sijajua ni maji huwa yanaingia kwenye nyaya zao walizotandika chini au ni nini!,hii hali haitatulia mpaka mvua zitakapoisha..
 
Halotel wezi wakubwa kabisa, nilinunuw bando ya mwezi sikutumia hata siku moja. Hiyo hela iliniuma sana. Hata vocha siweki siku hizi. Ni laini ya kupokelea sim tu. Huyo anaesema et mvua hakukuw na mvua hata kidogo.
 
Waungwana napenda kuwasihi au kuwataalifu kwa wale wateja wa halotel msije jalibu kununua bundle la night pack kabisa maana hilo bundle ni hewa na ukija jalibu kukinunua usije ukaja kutulilia humu nimesha wapa taarifa asanteni.nawatakia asubuhi njema yenye mafanikio
Kiswahili gani 'jalibu, mkulugenzi.
 
Watajirekebisha,tuwape nafasi. Kila mtandao unazo figisu zake.
 
Nafwaa mm nyumbani kwangu halotel ndio iko vzr kuliko mitandao yote. Sasa kama wanazingua ntabaki offline masikini
 
hatuna zaidi ya ttcl huku maisha raha mustarehe
 
Waungwana napenda kuwasihi au kuwataalifu kwa wale wateja wa halotel msije jalibu kununua bundle la night pack kabisa maana hilo bundle ni hewa na ukija jalibu kukinunua usije ukaja kutulilia humu nimesha wapa taarifa asanteni.nawatakia asubuhi njema yenye mafanikio
Rudi nyumbani ttcl ndo tunafaidi huku hutojuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom