mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 830
- 997
nilishawakimbia siku za karibuni hizi
Huku koromije kwetu tunapanda had I juu ya miti. Sasa wewe ulisema huwezi kuja jaribu kupanda kwenye magorofa huko kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Furaha ya mvuvi [emoji57][emoji57] voda wajirekebishe
Mkuu Ttcl iko vizuri??Halotel ni michosho tu kila siku nachoma hela tu bando lenyewe halikaiRudi nyumbani ttcl ndo tunafaidi huku hutojuta
Nimeitoa line yao sitaki shida me mpaka simu yako unaichukiaHuku koromije kwetu tunapanda had I juu ya miti. Sasa wewe ulisema huwezi kuja jaribu kupanda kwenye magorofa huko kwenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahhahahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nashukuru hoja imeelewekahalotel sasa mlikofikia mtabaki na mkulugenzi pekaa, shauli Renu. Mthije mkathema hatukuthema
bora wewe umetusisitiza turudi nyumbani hata kama tukiibiwa mali inabaki nyumbani. TTCL juuuuuHamieni TTCL, nimejiunga boom pack bundle sh 5000, napiga TTCL kwenda TTCL bure, napata Dak 75 mitandao yote, msg 660 na 6GB kwa mwezi na internet ina speed balaa
Mkuu mi mwenyewe kuna siku nimenunua hilo bando...likoo slow sanaa..HAROTEL naikubali na ulio sema bando la usiku ni hewa umekosea Harotel kukiwa na mvua huwa inasumbua but mm Jana nimenunua GB 10 za usiku na nimemaliza zote bila matatizo usipende kutoa Uzi usio wa uhakik huwezi jua uko mtandao ulikua mbovu na uliwapigia Huduma kwa Wateja ujue nn tatzo
lakini hii ni kwa mjini tu na tena dsm, mikoa mingine haipoNjoo uchukue line ya TTCL hutajuta.
Mkuu sijakulupuka kuandika hivyo hilo ninalo kwambia ninauhakika asilimia mia hawa halotel walinipa kishawishi mpaka nikanunua modem yao kipindi hiko high bundle unapewa GB 18 unashusha mzigo mpka unafurahi lakn sasa ukinunua hilo bundle la ucku hata ukisema unadownload video za nyimbo tatu mpaka asubuhi haziishi ndo ujue namna gani tunaibiwa na huo usiku wanaubana kabisaaaaaHAROTEL naikubali na ulio sema bando la usiku ni hewa umekosea Harotel kukiwa na mvua huwa inasumbua but mm Jana nimenunua GB 10 za usiku na nimemaliza zote bila matatizo usipende kutoa Uzi usio wa uhakik huwezi jua uko mtandao ulikua mbovu na uliwapigia Huduma kwa Wateja ujue nn tatzo
lakini hii ni kwa mjini tu na tena dsm, mikoa mingine haipo
zanzibarWewe uko wapi?
zanzibar
nitajaribu kuwafata ofisini kwao, manake huwa hawatangazi, lakini nishawahi kuwaulizia wakasema kuwa bado haijawa na nguvu,Huko ipo poa kabisa