Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
Labda kwako voda kwangu inasumbua mpaka line nimetoaHata aibu huna Voda inasumbua wapi huko Nkasi?
Labda kwako voda kwangu inasumbua mpaka line nimetoaHata aibu huna Voda inasumbua wapi huko Nkasi?
Wamerudi vizuri walinitumia mb za ofa juzi speed nzuri tatizo hawatabilikagi likishaisha tangazo la mama super na speed ya internet inapoteaHata aibu huna Voda inasumbua wapi huko Nkasi?
Kweli voda wanasumbua. Ukiwa mjini ttcl ni line nzuriTatizo la voda internet inasumbua sana
Voda net sijui imekuwajee!Labda kwako voda kwangu inasumbua mpaka line nimetoa
Menyu ya chips bando unapigajeBora unune chipsi bundle utafaidi sana
*149*55#Menyu ya chips bando unapigaje
Waungwana napenda kuwasihi au kuwataariu kwa wale wateja wa Halotel msije jaribu kununua bundle la night pack kabisa maana hilo bundle ni hewa na ukija jaribu kukinunua usije ukaja kutulilia humu nimesha wapa taarifa asanteni.nawatakia asubuhi njema yenye mafanikio
Voda net sijui imekuwajee!
Hiyo halotel wana kasi ya ajabu, ila ndo huo wizi wao wa mb ndo shida..... Yaan hadi nimetupa line yao
Halaf kuna mijitu inabisha kuhusu voda nikiongea kwa video call au voice call simu inaenda inakata yaan kiufupi voda wajirekebishe kwenye net nimelitoa line lao natumia tigo net haisumbui wala nini mwanzo mpaka nilijua simu yangu ina shidaKweli voda wanasumbua. Ukiwa mjini ttcl ni line nzuri
Hasira za mkizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halaf kuna mijitu inabisha kuhusu voda nikiongea kwa video call au voice call simu inaenda inakata yaan kiufupi voda wajirekebishe kwenye net nimelitoa line lao natumia tigo net haisumbui wala nini mwanzo mpaka nilijua simu yangu ina shida
Furaha ya mvuvi [emoji57][emoji57] voda wajirekebisheHasira za mkizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Andika vizuriHAROTEL naikubali na ulio sema bando la usiku ni hewa umekosea Harotel kukiwa na mvua huwa inasumbua but mm Jana nimenunua GB 10 za usiku na nimemaliza zote bila matatizo usipende kutoa Uzi usio wa uhakik huwezi jua uko mtandao ulikua mbovu na uliwapigia Huduma kwa Wateja ujue nn tatzo
Voda net sijui imekuwajee!
Hiyo halotel wana kasi ya ajabu, ila ndo huo wizi wao wa mb ndo shida..... Yaan hadi nimetupa line yao
Mkuu unahitaji ufafanunuzi kidogo eti?!![emoji2] [emoji2] [emoji2]Kiswahili gani 'jalibu, mkulugenzi.