Halotel ni kiboko kwa internet speed

Halotel ni kiboko kwa internet speed

Halotel imenifanya niidharau sana hii mitandao mingine. With Halotel I get a reliable 3G connection. Hawa wengine ni kubahatisha tu.
 
David yaani ukiwasha TU inawaka aitekenyii acha kabisaaa

Nenda KWA line za wanafunzi familia nzima imevaa skirt NA bikta za shule tunajimwaga NA line za chuo
 
Hivi bado kuna watu wanatumia mtandao wa 3G?
sasa kaka kama 4G ya tGo au smile au wengime wowote wanao claim kutoa 4G coverage yake sio kivile

acha tuifagilie halotel ambayo ni kama mkombozi hata huku kijijini.

hao wengine wakisambaza huduma zao nao tutawasifia vile vile.
 
Hlotel bundles zake za internet zipoje wadau maana naanza kushawishika.
 
Halote kibokoo!sijui tigo,voda,airtel tupa kule!Nalazimika kutumia hii mitandao mingine kwa sababu ya kutopoteza mawasiliano na marafiki wanaoijua namba hii vinginevyo hii mitandao mingine haifai kabisa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
mimi nipo maporini uku Mchambawima lakini naingia JF kwa kutumia HALOTEL kama kawaida na kuperuzi vizuri tu!!
 
Hizo bundle za halotel na price zake zimekaaje kwa anayejua?

Halotel wanazidi kutupa shavu wateja wake na hii ni very recent offer, kuinjoy zaidi chukua line ya mwanachuo kwa buku3 ujionee uroda bobuu!

Uzuri wapo cheap, reliable si wababaishaji kama hao wengine na wana options nzuri ila hii nimeipenda zaidi;
Unaweza kuchukua bundle la 10000/= kwa mwezi mzima upate 10gb na bonus ya mb100 kila utapoweka vocha ya buku, dakika 1200 za halotel kwenda halotel, dakika 80 kwenda mitandao mingine na sms 10000!

Usiogope, yapo mengine ya bei rahisi kwa duration ya week full package ama internet pekee

Ukipata line yao, dial *148*55# mambo yote utayapata humo mkuu!

I wish watu wengi waijue raha ya kuwa na mtandao huu, sijawahi jutia uamuzi wangu!!!
 
Natumia tigo LTE lakini haina tofauti na 3G ipo slow sana mchana na jioni.. Usiku sana alfajiri ndio i akuwa na speed kidogo.. Itabidi nijaribu halotell
 
Back
Top Bottom