Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Maana wengine mkitaka kuongeza kitu mpk muombe ruhusaAhahaaaa sawa
Maana wengine mkitaka kuongeza kitu mpk muombe ruhusaAhahaaaa sawa
Basi yamekwibia!Nilikuwa nimeishiwa mb,nikazima data.
Tcra wapi unaowazungumzia?ina maana tcra hawaoni malalamiko ya wananchi kila siku tunavyoumizwa na hawa halotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa watatudisha kweli?Basi yamekwibia!
Piga 100 uwazingue kinoma, na uwatishie kuhama watakurudishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani. Hata kwenda pale Victoria HQ Yao nikafanye fujo.Halotel ni wapuuzi wa kufa shetani, kesho nasajili TTCL