Halotel mnatuibia wateja wenu

Halotel mnatuibia wateja wenu

Halotel baada ya kusifiwa kua na huduma nzuri lakini saizi ni tofauti kabisa spidi yao ya intanet imepungua sana afu wanakula Mb unaweza sema simu imetoboka znavujia chini mwanzo Mb 600 nilikua natumia hata kwa siku 3 lakini saizi hata masaa 24 hazimalizi muda sio mrefu natupa line lenu maana nilinunua kwa ajili ya Mb

Sent using Jamii Forums mobile app
pole nilijua peke yangu
 
Kweli halotel wamekua hawaeleweki maana hadi nashang'aa maana bundle zinateketea siku moja tu. Halafu wanakuambia kuna data za kutumia usiku sijui usiku wa saa ngapi?
 
TukiaChana na mambo ya MB sijui nn Halotel wamepenya mpaka vijijin ndani ndani hukoo. Kushinda mitandao ya kina Manjji. Asieongea na "umbwa" by the way hivi wale mawakili wake toka UK bado wapo? Anko Shikamooo.
 
Jamani naomba kujua naongea vipi na wahudumu wa halotel. Juzi nimeweka elfu 2000,nikakaa dakika 10 hivi ile nataka kujiunga naambiwa sina Salio la kutoka,Ku check nimekatwa 1625. Duh!!!nikapiga 100 sikuwapata aisee Nina hasira nao hawa mbwa
 
Don't top up your voucher while data connection is on!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom