Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,393
- 6,560
Ngoja waje usiwe na choyo mkuu"""kizuri kula na nduguyousiwaambie bana watajaa lol
Ngoja waje usiwe na choyo mkuu"""kizuri kula na nduguyousiwaambie bana watajaa lol
Hii ni kwa nchi nzima au darisalama tu maana wengine tupo huku madogo kuinama huo mtandao sijui kama unakamataSijawahi kujuta kuhamia ttcl miezi 6 nafurahia huduma
Coverage ni ndogo sana.Halotel mizinguo tu""karibuni ttcl
Wanategemea watumie bure 😀.Sas hamtaki MB ziliwe na mnatumia net sana mnategemea nn
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone