Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,518
- 3,041
kifurush cha chuo tsh 500,ilikuwa mb 600, leo 450Yaani hawa halotel wamekuwa wezi saivi kifurushi cha strimika youtube kimeshushwa kutoka mb 1220 hadi 600mb kwa shilingi 500 sasa hapo strimika nini sasa?
jamani sasa TCRA wekeni limit ili mtumiaji ajue kwenye mitandao yote mb kadhaa unapata kwa shingi kadhaa.