Halotel Internet Settings

Tumia hii hapa nzuri sana na speed huwa kubwa..
Name: Halotel
Apn : b-internet

Kazi kwako

Na setting nzuri kwa tigo fanya haya

Name :Tigo
Apn :Internet

Hakika hutojutia hata kama ni 3g .

Kwa vodacom.setting hizi hapa

Name:vodacom
Apn: internet..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom