Unapoacha Data On na Una Update kama 20 unategemea nini..? huku whatsaap kuna video 10 na picha zinazo download automatic.Unaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini
kweli kabisa mkuu huyo atakua ametumwaUmetumwa wewe, halotel hawana hiyo tabi
CPU?Ili nipate nini? Nakwambia kinachotokea sasa niko kwenye computer
[emoji15] [emoji15] [emoji15] emu waulize uckute wanakijijiMnasoma chuo gani?
kweli kabisa mkuu huyo atakua ametumwa
Halotel kwenye internet ni kimeo sasa hata mm nimeachana nao muda mrefu sana, kwa kifupi hawana kazimkuu kuhusu spidi hapana, maana siku hizi spidi yao ndio ipo chini balaa, hata streaming huwezi.
I am well informed, live aware of all that!Unapoacha Data On na Una Update kama 20 unategemea nini..? huku whatsaap kuna video 10 na picha zinazo download automatic.
fikiria kabla yakukosoa
Itafute, ukiiona utaniuzia. Nanunua kwa Tsh 5000/=Hawa Jamaa wa Halotel hawako sawa kabisa.Nilijiunga nao baada ya kusikia sifa zao lakini nilipoweka kifurushi sikurudia tena maana ni zaidi ya wizi.Hata Laini yao sijui ilipo kwa sasa.
wanafanya registration kama tigovodacom line za chuo hakuna, kawaida ni balaa vile vile
mmezoea sana ubwete.Shs.500 kwa wiki internet???kwani upo ujerumaniUnaweka bando ya internet 500 Tsh for a week. Hujafanya download yoyote imeisha. Imenitokea several times.
Acha wizi, TCRA timiza wajibu wenu, msisubiri kupiga faini, tunataka huduma na si faini