DOKEZO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe hii Shule ya Msingi KIBISI mmeamua kuipotezea?

DOKEZO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe hii Shule ya Msingi KIBISI mmeamua kuipotezea?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
879
Reaction score
814
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu.
DSC_1684.JPG

DSC_0837.JPG

DSC_1687.JPG
DSC_1691.JPG
DSC_1691.JPG

DSC_1688.JPG
Pia soma:
~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki
~ Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe: Milioni 10 itatumika kuboresha madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi
 

Attachments

  • DSC_1688.JPG
    DSC_1688.JPG
    1 MB · Views: 15
Kama miundombinu ipo hivyo, elimu inayotolewa hapo yakutilia mashaka
ufuatiliaji, ubunifu, uongozi hakuna au pesa wanakula wajanja
 
Hii nchi inataka mtu ambaye itailelea kama nafsi yake , kama alivyokuwa Gaddaf .Bahati mbaya , wanasiasa wanapenda kujiona wao ndiyo viongozi , wakati kiongozi sio lazima awe na chama cha siasa.
kweli kabisa.Yote kwa Yote.MARIDHIANO na KATIBA MPYA ni muhimu.
 
Tanzania ni nchi ya uchumi wa kati. Chini ya mama itakuwa nchi iliyoendelea
 
Serikalicmm kwa elimu msingi,labda watoke madalakani tofauti na hivyo,ni ngum mno maan shule hizo zimesha sahulika sana
 
Shule itakuwa Malawi huku Tanzania shule zetu zina walimu na miundombinu za kuwatosheleza wanafunzi.
 
Back
Top Bottom