macjay
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 371
- 408
Isije akawa ana diploma ya historia na kiswahili ya mandaka alafu akaunga unga akasoma degree mbuyuni university - moshiKwa akili yako tu jaribu kutafakari jambo hili dogo,
1. Mwalimu wa shahada ya kwanza (Digrii ya somo la biashara au BEDCOM) kutolewa sekondari na kupelekwa kufundisha shule ya msingi katika somo la "Haiba na michezo". Hivi hapo ni kuboresha Elimu au ni kuipeleka ICU?
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.
Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com
My take.
Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu