Halmashauri chini ya CHADEMA zaongoza kwa rushwa

Halmashauri chini ya CHADEMA zaongoza kwa rushwa

Kuna mada zingine ukizisoma unapata picha ya mletaji ana kiwango gani cha umbumbumbu.
Sasa kama maafisa Ardhi, biashara nk, diwani ambaye sio mamlaka yake ya ajira afanyeje?
JF ya sasa kiwango kimeshuka sana below average
Kwani kwenye halmashauri nyingine hao maafisa wako chini ya mamlaka za nani
 
Ni kweli kwa mtazamo wako,bali zilizo chini ya unakoshabikia zinaongoza kwa mauwaji.
 
Hutawaona hapa mkuu!!

Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....

BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.[/QUOTE

Kweli dunia ina mambo...Ya mnyeti mwachieni Magu.
Mange hatufanyi makosa kwa hawa..m..bwa April 26 kiama chao.
 
Mleta mada mjinga tu! Yaani unaitukananisha mamala za kupambana na rushwa kuwa hazitendi na kutekeleza majukumu yao ipasavyo siyo? Nani msimamizi wa makusanyo na fedha za ruzuku kwenye hizo halmashauri kama siyo wakurugenzi walioteuliwa na ccm? Nani mkuu wa wilaya hizo kama siyo wateuliwa wa ccm? Nani mkuu w mkoa huo kama siyo mteule wa ccm? Wameahindwa kazi siyo?
Madiwani na wenyeviti wa halmashauri siyo wakusanyaji wa mapato bali maafisa watendaji ambao ni wateule na waajiriwa wa ccm! Bora umesema kweli kuwa hao wateule wa ccm kazi imewashinda na wafukuzwe kazi kwa kuiendekeza na kuilea rushwa kwenye maeneo yao! Kukurupuka hadi unawashtakia ccm wenzako!
Jibu hoja
 
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.

Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.

Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.

TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com

My take.

Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Umesahau au !!?? .kuwataja wakuu wa wilaya na wakurugenzi .ongezea na makatibu wilaya na mkoa na wakuu wa wilaya na mkoa wa taasisi zifuatazo Takukuru,polisi,Tiss,mahakama,Hospital.Ardhi,Tra,ugavi ,Tanesco maana huko ndio haswa ndio kunavyakutolea rushwa .alafu wa mwisho ndio chadema kwa wabunge na madiwani wake kupokea rushwa ya kuhama
 
Ingekuwa chadema imefanya vizuri usingeyasema haya
 
Hutawaona hapa mkuu!!

Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....

BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.
Tupo ila tatizo tuhumu hazina viwango na zimeelekezwa kusiko .ikijionyesha mtoa tuhuma hana uelewa wa utawala wilaya au mkoa
 
tatizo hizo halmashauri zinazoongozwa na upinzani zinaingiliwaingiliwa sana na wakuu wa mikoa na wilaya ili zishindwe. bado tuna safari ndefu kujenga demokrasia ya kweli kwa taifa letu..
 
Kumbe ni zaidi ya nusu mwaka ....ngoja tushughulile na BCM4P

Back
Top Bottom