Kumbuka utawala huu haufuati sheria watawala wanawezakufanya chochote wanavyoona inafaa. Hao madiwani unaowasema walishawahi kulalamikia kuhusu kupunguzwa posho zao na kunyang'anywa stahiki zao muhimu lkn uvccm mkasema ooh wapiga deal hao .Kazi ya madiwani wa chadema ni nini Arusha?
Halmashauri inaongozwa na mkurugenzi chini ya ushauri wa baraza la madiwani. Mkurugenzi anateuliwa na Raisi, watumishi wa halmashauri ni watumishi wa serikali inayotawala. Kama Arusha Kuna rushwa ni suala la sehemu na sio chama. Lema na genge lake hawana mamlaka Arusha. Yeye na wahuni wenzake ni ni wawakilishi tu. Kichwa cha Gambo na uongozi wake.Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.
Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com
My take.
Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Mbona kwenye halmashali zilizochini ya ccm hamna rushwa??Kumbuka utawala huu haufuati sheria watawala wanawezakufanya chochote wanavyoona inafaa. Hao madiwani unaowasema walishawahi kulalamikia kuhusu kupunguzwa posho zao na kunyang'anywa stahiki zao muhimu lkn uvccm mkasema ooh wapiga deal hao .
Leo hii baadhi ya miradi wanapewa wazabuni pasipo kufuata taratibu na sheria na hiki ndicho chanzo kikuu cha rushwa kwenye hali mashauri huku wakurugenzi wenu wenye kadi ya kijani wakiwa kipaumbele kusapoti hali hiyo .Ila tatizo likitokea huwa mnajitoa ufahamu na kukituhumu chadema
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.
Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com
My take.
Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Unauhakika kiasi gani kama halmashauri zinazoongozwa na ccm hakuna rushwa. Kabla ya CHADEMA kuongoza halmashauri hizo kuhusu rushwa ilikuwa ni kawaida maana ccm na rushwa ni sawa na ngozi na mwili haviachani. Mfano halisi ununuzi wa ndege za abiria , ujenzi wa standard gauge , airport chato na E-pasport umaweza kuulezea zabuni zilivopatikana? Siku mkija kuambiwa kuwa mchakato umetawaliwa na rushwa mtawasingizia CHADEMA? Stretch your uvccmMbona kwenye halmashali zilizochini ya ccm hamna rushwa??
Kwa hiyo na chadema inaiga rushwa za ccm?Unauhakika kiasi gani kama halmashauri zinazoongozwa na ccm hakuna rushwa. Kabla ya CHADEMA kuongoza halmashauri hizo kuhusu rushwa ilikuwa ni kawaida maana ccm na rushwa ni sawa na ngozi na mwili haviachani. Mfano halisi ununuzi wa ndege za abiria , ujenzi wa standard gauge , airport chato na E-pasport umaweza kuulezea zabuni zilivopatikana? Siku mkija kuambiwa kuwa mchakato umetawaliwa na rushwa mtawasingizia CHADEMA? Stretch your uvccm
Hapa ndio great thinker wa ufipa amemwaga pointi sasa.
Kwa hiyo na chadema imeanza kuiga ufisadi wa ccm wa miaka 58!!!!!
Kwanini Magufuli anapopambana na rushwa huwa anachagua maeneo?Hutawaona hapa mkuu!!
Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....
BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.
Kiswahili chako kipo ICU! "Hicho ndiyo kichaka......." Ccm hovyo kabisa.Hicho ndiyo kichaka cha chadema kuficha ulaji rushwa wao?
Ccm wala rushwa ,Chadema nao wala rushwa tukimbilie wapi sasa??Ndio maana nikaandika angalizo mwanzoni kabisa.."Two wrongs can not make it right"....mzee shule ulienda kusomea ujinga?
Nini umuhimu wa hilo angalizo langu?Hata hujui....masikini!
CCM imekosa maarifa kabisa!
CHADEMA ni janga kwa Taifa la TanzaniaKwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.
Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com
My take.
Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Mahusuano yake ni UFISADI wa serikali kwa wananchiHii ina mahusiano gani na topic?
CHADEMA ni janga kwa Taifa letuCcm wala rushwa ,Chadema nao wala rushwa tukimbilie wapi sasa??
True, Takukuru ni tawi la CCM.Takukuruccm
Ova
Ccm wala rushwa ,Chadema nao wala rushwa tukimbilie wapi sasa??
Kuzidi kale kashikaji Ka CHATO?CHADEMA ni janga kwa Taifa la Tanzania
Hii inaondoa ukweli kwamba chadema ni wala rushwa huko Arusha??Elitwege
Hii habari ipo subotaged ili kuwaonesha wananchi Chadema ndio chama cha kula rushwa..ni muendelezo wa maonevu ya CCM!
It does not need rocket science kung'amua!
Tatizo hamuelewi Arusha sio kama Simiyu!
Siku mkija kugundua kua siasa za vurumai ni za kizamani it would be too late tayari...
Na pia kuna mziki wa 26/4,mmeshajipanga jinsi ya kuupangua siku hiyo au bado mnacheza makidamakida?
Siasa ni sayansi,someone is about to be schooled really well!