Chadem haina ofisi?Mbona unakua muongo ndugu yangu?Why you are so dishonest like this?
Ofisi wanayo,walivyoipata na umiliki wake wala sio ishu muhimu hapa.Walipewa bure,walifadhiliwa,wanaishi bure,etc ni imaterial here.Huwenda Chadema kumiliki a piece of real estate sio priority as of now,I can understand that.You should too!
Ruzuku hazifiki una vielelezo na vidhibitisho mkuu?Na hela kufika huko ni mipango yao ya matumizi waliyokubaliana,hoja labda kama kuna wizi labda ndio ulete ushahidi hapa na vilelezo.Tusiishie kutoa innuendos tu,tuweke vithibitisho basi.
Na pia,Chadema sio tajiri kama CCM,kuzicompea tu matumizi yao ni ukichaa uliopitiliza.Hata ruzuku ya CCM na Chadema wanazopokea serikali ni tofauti kama mbingu na ardhi!
Chadema kama isingekua inaongozwa kwa kufuata fiscal laws to some extent kisingekuwepo hapo,kingekua disfunctional party financially,kingekua kishakufa 100%..
Cha msingi ungekua na vielelzo vyako hapa vinavyoonesha faulu zilizomo Chadema za fiscal sabotages na sio tuhuma tu.Ni kwa mfano mi nitoe tuhuma hapa kua wewe ni shoga,ningetakiwa nitoe ushahidi wa wazi kabisa,kama sina,my claims remains senseless na malicious tu!
You are better than this!