Halmashauri chini ya CHADEMA zaongoza kwa rushwa

Kwa akili yako tu jaribu kutafakari jambo hili dogo,
1. Mwalimu wa shahada ya kwanza (Digrii ya somo la biashara au BEDCOM) kutolewa sekondari na kupelekwa kufundisha shule ya msingi katika somo la "Haiba na michezo". Hivi hapo ni kuboresha Elimu au ni kuipeleka ICU?
Topic hapa ni kula rushwa kwa chadema
 
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.

Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.

Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.

TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com

My take.

Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Takukuru walio pewa ushahidi wa kununuliwa madiwani wakaingia mitini ndiye source ya story???stupid
 
Mleta mada mjinga tu! Yaani unaitukananisha mamala za kupambana na rushwa kuwa hazitendi na kutekeleza majukumu yao ipasavyo siyo? Nani msimamizi wa makusanyo na fedha za ruzuku kwenye hizo halmashauri kama siyo wakurugenzi walioteuliwa na ccm? Nani mkuu wa wilaya hizo kama siyo wateuliwa wa ccm? Nani mkuu w mkoa huo kama siyo mteule wa ccm? Wameahindwa kazi siyo?
Madiwani na wenyeviti wa halmashauri siyo wakusanyaji wa mapato bali maafisa watendaji ambao ni wateule na waajiriwa wa ccm! Bora umesema kweli kuwa hao wateule wa ccm kazi imewashinda na wafukuzwe kazi kwa kuiendekeza na kuilea rushwa kwenye maeneo yao! Kukurupuka hadi unawashtakia ccm wenzako!
Nani anapanga bajeti na kusimamia matumizi yake ?
Madiwani wa chadema
 
Nani anapanga bajeti na kusimamia matumizi yake ?
Madiwani wa chadema
Mpuuzi kweli kumbe! Kupanga bajeti na rushwa wapi na wapi? Nitolee ujinga kifafa hapa kwani huelewi chochote zaidi ya kuchochea ujinga tu! Takukuru na mnyeti hawapo huko?
 
Mpuuzi kweli kumbe! Kupanga bajeti na rushwa wapi na wapi? Nitolee ujinga kifafa hapa kwani huelewi chochote zaidi ya kuchochea ujinga tu! Takukuru na mnyeti hawapo huko?
Kwa hiyo hamna umuhimu wa madiwani wa chadema Arusha?
 
TATAKURU WANAFANYA KAZI YA NANI?? SASA HIVI KILA TAASISI INAJIFANYA KUEGEMEA UPANDE WA BWANA FLANI WAONEKANE, SO REPORT YAO NI RUBBISH TU
 
Bora chadema wanadili na halimashauri nyie mko pale pale jikoni mnapiga tuu nani mshenzi sasa
 
Hutawaona hapa mkuu!!

Kuna mmoja kajitoa ufahamu kaja kurekebisha spelling za neno halmashauri!!! Teh teh teh teh teh....

BTW, agenda ya ufisadi ilishafutwa chadema baada ya mzee mammvi kuhamia huko, kwahiyo usishangae jamaa kuwa wezi na wala rushwa.

Nyie watu hamueleweki. Mmekazana sana kuwa CHADEMA imekufa. Sasa maiti inakulaje rushwa?
 
Kwa hiyo hamna umuhimu wa madiwani wa chadema Arusha?
Hao mliowanunua kutoka cdm ndio wanaowafaa zaidi kwani ni muhimu mno kwenu! Shida yako ni kuwashtakia madiwani wa cdm ukasahau kuna vyombo vya serikali tena ya ccm wanaotakiwa kudhibiti rushwa kupigwa ganzi? Basi serikali ya ccm pamoja na gambo mmefeli hapo arusha!
 
Kazi ya Lema na madiwani ni kupiga kelele tu hapo Arusha ,no action taken
 
Action ya kuwatoa uhai au? Hivi wewe mwenye akili matege hujui hata maana ya kelele? Kagongee ugali wa shikamoo kule!
Lema na madiwani wake wanakula mshahara wa bure
Ufisadi unatokea mbele ya macho yao wanashangilia tu.
 
Kuna mada zingine ukizisoma unapata picha ya mletaji ana kiwango gani cha umbumbumbu.
Sasa kama maafisa Ardhi, biashara nk, diwani ambaye sio mamlaka yake ya ajira afanyeje?
JF ya sasa kiwango kimeshuka sana below average
Huu Uzi umeletwa kiushabiki na kada wa ccm na ndiomaana imelenga kuwachafua CHADEMA hata hivo hawatofanikiwa kufikia nia yao ovu kwa CHADEMA . Haibu kwao ccm
 
Huu Uzi umeletwa kiushabiki na kada wa ccm na ndiomaana imelenga kuwachafua CHADEMA hata hivo hawatofanikiwa kufikia nia yao ovu kwa CHADEMA . Haibu kwao ccm
Kazi ya madiwani wa chadema ni nini Arusha?
 
Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.

Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa halimashauri hizi ziko chini ya chama kikuu cha upinzani nchini kinachojinasibu kupambana na rushwa na ufisadi.

Ikumbukwe chadema imekuwa ikitawala Arusha kwa miaka 10 sasa kupitia mbunge na madiwani wengi lakini kumbe ni wala rushwa watupu.

TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa
TAKUKURU yazitaja Halmashauri za Arusha kuongoza kwa Rushwa – Millardayo.com

My take.

Mara zote nimekuwa nikisema ni heri zimwi likujualo (ccm) haliwezi kukula na kukumaliza kuliko zimwi jipya (chadema) ambalo ni wala rushwa tupu na hawana huruma na mtu
Na mkurugenzi ni Wa Chadema
 
Hii ina mahusiano gani na topic?
Inahusiana sana! Jamaa anataka kuonesha upofu wako kwa ufisadi unaoedelea ujenzi wa standard gauge na kuona "ufisadi was CDM kwenye halmashauri ya Ar" Takukuru wamenyamaza kimya kuhusu madai ya srikali kutumia kodi za walalahoi kununua viongozi wa upinzani!
 
Kama ambavyo chadema iliwanunua,Nyalandu, Sumaye ,Lowasa??
 
Back
Top Bottom