Halmashari ya Wilaya ya Ruangwa Yafunga Maduka

Zinakutowa=Zinakutoa

Uzani=Utadhani

Ushabadilika=Umeshabadilika

Sawa "Njomba"
Umelewa kilicho semwa
Whatever the case
Badala ya kukaa na kupigania
Maslahi ya watanzania
Mko kwa ajili upambe tu wa fulani
Duuuu it's very lowly minded nyie watu kwa kweli, pole sana
 
ACHA WAISOME NAMBA VIZURI
NDIYO WATAJUA KUWA CCM HAIFAI HATA KWA KURUMANGIA NA KACHUMBALI
HATA KM MILION 2 WATOE TU HAKUNA NAMNA NDIYO WALICHAGUA NCHI YA VIWANDA
 
tunahitaji kodi viwanda vijengwe kama hutaki kulipa kodi acha biashara mlizoea pesa za madili.


Tanzania Ni Yangu Kwa Sasa Na Amua Kufanya Chochote.
 
Back
Top Bottom