Hahahaha, hii inaitwa bytime ili kesi ikifika mahakamani waendelee kuwq wabunge wa mahakama for 5 good years. So chadema komaeni hawa wanauma na kupuliza.
Kwenye ule Mkutano kungekuwa na waandishi wa habari tungejua Ila pale wakuhudhuria waongoza sherehe (MC) ndio maana hukusikia hilo swaliHivi mbona Halima , kiongozi Wa covid -19 , hajaongelea kua walipata baraka wapi za kwenda kuapa Kama wabunge Wa viti maalumu,
Hapo ndio tatizo linaponzia
Unatetewa na Ndugai na Bashiru alafu upewe benefit of doubt kweli? Just wait and seeMkuu badala ya kufikiria mabaya tu, tuweke na benefit of doubt.
Hawaja kuna na kibri. Walikuwa wenzetu. Wako tayari kuyajenga. Nini taabu ya kukaa nao na kujaribu iwapo kwa kufanya hivyo tutaweza:
1. Kuwajua waasisi wa ghushi?
2. Kuwashugulikia waasisi wa ghushi?
3. Kuwaumbua waasisi wa ghushi?
4. Kuwapa funzo la kudumu waasisi wa ghushi?
5. Kuufunga mjadala wa ghushi hii katika namna inayokubalika?
Makamanda ni muhimu tukajua tunataka nini. Kumbuka sasa hivi mboga mboga kinawauma!
Hiyo miaka ya 2010 walienda kwa sababu mbowe alishinda uchaguzi
Na 2020 hawaendi kwa sababu Mbowe ameshindwa uchaguzi
Unatetewa na Ndugai na Bashiru alafu upewe benefit of doubt kweli? Just wait and see
Jamani katika yote tukumbuke hajasema aliyemteua na kumtuma akaape.Mabibi na mabwana kama nchi tumepwelewa sana katika hili la maridhiano. Kwa hakika matatizo yetu kama nchi yako hapo na ndiyo maana tuko hapa tulipo na sasa kama mazuzu tu....
Jamani katika yote tukumbuke hajasema aliyemteua na kumtuma akaape.
Ongezea na hili-Baada ya hapo Chadema wateue wabunge wa viti maalum.Amecheza karata vizuri, ila angeleta ujeuri wa kutishia kuhama chama basi ndio ulikua mwisho wake kisiasa.
Ange danganyika kwenda CCM kisa Dk. Bashiru amemkaribisha au kinga walioahidiwa na Speaker pamoja na A.G, angekutana na fitna nyingi sana za wana CCM kindaki ndaki...
Ndio nini sasa umeandika..?!Kwanini hamjibu swali la Mdee?
Kwa nini 2010, 2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
Mengine amesema atayaeleza kwenye Chama mkuu.Hivi mbona Halima, kiongozi Wa covid -19, hajaongelea kua walipata baraka wapi za kwenda kuapa Kama wabunge Wa viti maalumu,
Na nani aliyemtoa Nusrat Hanje Nje ya utaratibu Wa mahakama na kwenda kuapa.
Hapo ndio tatizo linaponzia
Nakumbuka Mdee alizungumzia hilo na alikubali kama chama kitaamua wachague wengine.Hivi hawa 19 watakuwa tayari kama sharti kuu la kuyajenga ni Halima na wenzie kuachia Ubunge kwanza na kurudi chamani kama wanachama wa kawaida bila nafasi yoyote ya uongozi harafu CHADEMA kipeleke akina mama wengine 19 bungeni?
Come to think of it, most likely dhahama hii ilianza chini kwa chini pale lilipokuja suala la nani na nani wateuliwe kwenda Bungeni
Hapana. Miaka yote hiyo sio Mbowe peke yake aliyeshinda uchaguzi. Wengi tu walishinda ingawa palikuwa na hujma. Mwaka huu hujma hizo zimezidi na zimefanywa bila kificho. Hali ilionekana toka chaguzi za marudio, uchaguzi wa mwaka jana ambapo nia ilionyeshwa wazi ni kushinda chaguzi zote bila kujali wameshindaje.Hiyo miaka ya 2010 walienda kwa sababu mbowe alishinda uchaguzi
Na 2020 hawaendi kwa sababu Mbowe ameshindwa uchaguzi
Sasa Kamati kuu iliharakisha nini kutoa maamuzi ya kuwafukuza?Mkuu badala ya kufikiria mabaya tu, tuweke na benefit of doubt.
Hawaja kuna na kibri. Walikuwa wenzetu. Wako tayari kuyajenga. Nini taabu ya kukaa nao na kujaribu iwapo kwa kufanya hivyo tutaweza:
Amecheza karata vizuri, ila angeleta ujeuri wa kutishia kuhama chama basi ndio ulikua mwisho wake kisiasa.
Ange danganyika kwenda CCM kisa Dk. Bashiru amemkaribisha au kinga walioahidiwa na Speaker pamoja na A.G, angekutana na fitna nyingi sana za wana CCM kindaki ndaki...
Silinde na Lijualikali waliamua kuunga juhudi mara tuu baada ya kutimuliwa. Haki ya kukata rufaa walikuwa nayo lakini waliisha amua kuondoka Chadema.Ila wengine wote hawajawahi kupewa option ya maridhiano baada ya kufukuzwa kwenye mazingira kama haya ila hawa tu! (Refer issue ya Silinde&Co juzi tu)
Kama itatokea basi ni nguvu ya mapenzi zaidi kwamba kuna mademu za akina Mwalimu kule.
Toka lini CDM imeanza ku-negotiate na waitwao wasaliti?
Sababu ule ulikuwa uchafuzi 100%kuluko uchaguzi mwingine wowoteKwanini hamjibu swali la Mdee?
Kwa nini 2010, 2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?