Halima umeonesha mwanzo mzuri, maridhiano

Halima umeonesha mwanzo mzuri, maridhiano

Hahahaha, hii inaitwa bytime ili kesi ikifika mahakamani waendelee kuwq wabunge wa mahakama for 5 good years. So chadema komaeni hawa wanauma na kupuliza.

Mkuu badala ya kufikiria mabaya tu, tuweke na benefit of doubt.

Hawaja kuwa na kibri. Walikuwa wenzetu. Wako tayari kuyajenga. Nini taabu ya kukaa nao na kujaribu iwapo kwa kufanya hivyo tutaweza:

1. Kuwajua waasisi wa ghushi?
2. Kuwashugulikia waasisi wa ghushi?
3. Kuwaumbua waasisi wa ghushi?
4. Kuwapa funzo la kudumu waasisi wa ghushi?
5. Kuufunga mjadala wa ghushi hii katika namna inayokubalika?

Makamanda ni muhimu tukajua tunataka nini. Kumbuka sasa hivi mboga mboga kinawauma!
 
Hivi mbona Halima , kiongozi Wa covid -19 , hajaongelea kua walipata baraka wapi za kwenda kuapa Kama wabunge Wa viti maalumu,

Hapo ndio tatizo linaponzia
Kwenye ule Mkutano kungekuwa na waandishi wa habari tungejua Ila pale wakuhudhuria waongoza sherehe (MC) ndio maana hukusikia hilo swali

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu badala ya kufikiria mabaya tu, tuweke na benefit of doubt.

Hawaja kuna na kibri. Walikuwa wenzetu. Wako tayari kuyajenga. Nini taabu ya kukaa nao na kujaribu iwapo kwa kufanya hivyo tutaweza:

1. Kuwajua waasisi wa ghushi?
2. Kuwashugulikia waasisi wa ghushi?
3. Kuwaumbua waasisi wa ghushi?
4. Kuwapa funzo la kudumu waasisi wa ghushi?
5. Kuufunga mjadala wa ghushi hii katika namna inayokubalika?

Makamanda ni muhimu tukajua tunataka nini. Kumbuka sasa hivi mboga mboga kinawauma!
Unatetewa na Ndugai na Bashiru alafu upewe benefit of doubt kweli? Just wait and see
 
Hiyo miaka ya 2010 walienda kwa sababu mbowe alishinda uchaguzi

Na 2020 hawaendi kwa sababu Mbowe ameshindwa uchaguzi

Wakiwa wanayajenga, busara ni kwa wasio husika kuufyata!

Au siyo ndugu zanguuuuuu?
 
Unatetewa na Ndugai na Bashiru alafu upewe benefit of doubt kweli? Just wait and see

Ndugai na bashiru ni wakaanga mbuyu. Hawa ya Bibi na bwana kugombana wakaelewana yanawahusu moja kwa moja.

Pia la kumsaka mbaya wetu linawahusu.

Pamoja na hayo "Wait and see ni jambo la kheri". Watakuwapo kina Mbowe, Lissu, na wote wanaohesabika. Tuna haja ya kuwa na wasiwasi ndugu zanguuuuu?

Realistic time frame can be allocated to this.

Mambo yote mezani.

Tushawishiane kwa hoja.
 
Nileteeni Gwajima
Nileteeni Gwajiimaaa
Nileteeni Gwajiiiimaaaaaaa
Nileteeni Gwaaaajiiiiiimaaaaaaaaaaa
 
Amecheza karata vizuri, ila angeleta ujeuri wa kutishia kuhama chama basi ndio ulikua mwisho wake kisiasa.

Ange danganyika kwenda CCM kisa Dk. Bashiru amemkaribisha au kinga walioahidiwa na Speaker pamoja na A.G, angekutana na fitna nyingi sana za wana CCM kindaki ndaki...
Ongezea na hili-Baada ya hapo Chadema wateue wabunge wa viti maalum.
 
Hivi mbona Halima, kiongozi Wa covid -19, hajaongelea kua walipata baraka wapi za kwenda kuapa Kama wabunge Wa viti maalumu,

Na nani aliyemtoa Nusrat Hanje Nje ya utaratibu Wa mahakama na kwenda kuapa.

Hapo ndio tatizo linaponzia
Mengine amesema atayaeleza kwenye Chama mkuu.
 
Hivi hawa 19 watakuwa tayari kama sharti kuu la kuyajenga ni Halima na wenzie kuachia Ubunge kwanza na kurudi chamani kama wanachama wa kawaida bila nafasi yoyote ya uongozi harafu CHADEMA kipeleke akina mama wengine 19 bungeni?

Come to think of it, most likely dhahama hii ilianza chini kwa chini pale lilipokuja suala la nani na nani wateuliwe kwenda Bungeni
Nakumbuka Mdee alizungumzia hilo na alikubali kama chama kitaamua wachague wengine.
 
Ila wengine wote hawajawahi kupewa option ya maridhiano baada ya kufukuzwa kwenye mazingira kama haya ila hawa tu! (Refer issue ya Silinde&Co juzi tu)

Kama itatokea basi ni nguvu ya mapenzi zaidi kwamba kuna mademu za akina Mwalimu kule.

Toka lini CDM imeanza ku-negotiate na waitwao wasaliti?
 
Hiyo miaka ya 2010 walienda kwa sababu mbowe alishinda uchaguzi

Na 2020 hawaendi kwa sababu Mbowe ameshindwa uchaguzi
Hapana. Miaka yote hiyo sio Mbowe peke yake aliyeshinda uchaguzi. Wengi tu walishinda ingawa palikuwa na hujma. Mwaka huu hujma hizo zimezidi na zimefanywa bila kificho. Hali ilionekana toka chaguzi za marudio, uchaguzi wa mwaka jana ambapo nia ilionyeshwa wazi ni kushinda chaguzi zote bila kujali wameshindaje.

Bahati mbaya watekelezaji wa mpango mzima walisahau kuwa hawawezi kuendesha bunge bila kuwa na kambi rasmi ya upinzani. Hii ndio leverage waliyokuwa nayo Chadema pamoja na kuwa kwa mara ya kwanza mataifa ya nje yameonyesha concern zao kuhusu hali ya kisiasa nchini.

Ndio maana hatusikii Chadema ikimpigia kelele mbunge wa Nkasi maana wanajua hawezi kuunda kambi rasmi ya upinzani. Ndio maana hawawafuatilii madiwani wanaoapishwa maana effect yao katika mfumo mzima ni ndogo. Hii ni tofauti kabisa na kuwa na wabunge 20 wa upinzani maana hao wanaweza kuunda kambi rasmi ya upinzani na kulipa bunge legitimacy.

Amandla...
 
Mkuu badala ya kufikiria mabaya tu, tuweke na benefit of doubt.

Hawaja kuna na kibri. Walikuwa wenzetu. Wako tayari kuyajenga. Nini taabu ya kukaa nao na kujaribu iwapo kwa kufanya hivyo tutaweza:
Sasa Kamati kuu iliharakisha nini kutoa maamuzi ya kuwafukuza?
 
Amecheza karata vizuri, ila angeleta ujeuri wa kutishia kuhama chama basi ndio ulikua mwisho wake kisiasa.

Ange danganyika kwenda CCM kisa Dk. Bashiru amemkaribisha au kinga walioahidiwa na Speaker pamoja na A.G, angekutana na fitna nyingi sana za wana CCM kindaki ndaki...

Mkuu machungu yako yanaeleweka. Nikutoe shaka mkuu. Machungu yako ni yetu sote. Ila katika maridhiano huwa pana "give and take."

Wajumbe wetu kwenye maridhiano nao kwa vile wao wako tayari kuyajenga, mbona wameenea kila idara?

Tuwape nafasi akina Mbowe, Lissu, na wote wanaohesabika kulitanzua hili kama linawezekana.

Tukipata nafasi ya kumpata mbaya wetu hata tukamkemea tu, Mungu style nini sisi?
 
Ila wengine wote hawajawahi kupewa option ya maridhiano baada ya kufukuzwa kwenye mazingira kama haya ila hawa tu! (Refer issue ya Silinde&Co juzi tu)

Kama itatokea basi ni nguvu ya mapenzi zaidi kwamba kuna mademu za akina Mwalimu kule.

Toka lini CDM imeanza ku-negotiate na waitwao wasaliti?
Silinde na Lijualikali waliamua kuunga juhudi mara tuu baada ya kutimuliwa. Haki ya kukata rufaa walikuwa nayo lakini waliisha amua kuondoka Chadema.

Amandla...
 
Pamoja na yote,ila mimi niko palepale: aliyeiharibu na anayeendelea kuharibu siasa za Tz ni Jiwe.
 
Back
Top Bottom