dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Sikiliza ndugu chama kinaendeshwa kwa Katiba na kanuni ikiwa Mwamba alimwambia Mdee akaapishwe...bila taratibu za chama kufuatwa na Mdee alijua kwamba utaratibu hauko hivyo na akafanya kama alivyoambiwa mjinga nani hapo!Hilo alilijibu technically sana ili kuepuka kuchafua hali ya hewa. Personally, I am speculating kuwa, mwamba anaweza kuwa anahusika katika hili. Halma hawezi just kuchukua decision ya hivo bila kuwa na backup ndani ya senior leaders. Hata kama mwamba alikana kushiriki kwake, ila kuna hiyo possibilities.
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app