Swali la kipuuzi kama upuuzi mwingine. kurudia kufanya haramu hakuwezi kugeuza hiyo haramu kuwa safi.Kwa nini hamjibu swali la Mdee?
Kwa nini 2010, 2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
Hiyo miaka ya 2010 walienda kwa sababu mbowe alishinda uchaguziswali la kipuuzi kama upuuzi mwingine. kurudia kufanya haramu hakuwezi kugeuza hiyo haramu kuwa safi
Ndio wamekataa sasa huna uwezo wa kuwalazimisha. wanayo sababu ya msingi. wewe endelea na porojo zako lakini wao wamekazaHiyo miaka ya 2010 walienda kwa sababu mbowe alishinda uchaguzi
Na 2020 hawaendi kwa sababu Mbowe ameshindwa uchaguzi
Hilo alilijibu technically sana ili kuepuka kuchafua hali ya hewa. Personally, I am speculating kuwa, mwamba anaweza kuwa anahusika katika hili. Halma hawezi just kuchukua decision ya hivo bila kuwa na backup ndani ya senior leaders. Hata kama mwamba alikana kushiriki kwake, ila kuna hiyo possibilities.Ivi mbona halima , kiongozi Wa covid -19 , hajaongelea kua walipata baraka wapi za kwenda kuapa Kama wabunge Wa viti maalumu,
Hapo ndio tatizo linaponzia
Watakazwa safari hiindio wamekataa sasa huna uwezo wa kuwalazimisha. wanayo sababu ya msingi. wewe endelea na porojo zako lakini wao wamekaza
Ivi mbona halima , kiongozi Wa covid -19 , hajaongelea kua walipata baraka wapi za kwenda kuapa Kama wabunge Wa viti maalumu,
Hapo ndio tatizo linaponzia
Kwa hiyo mwamba ndio alikua na uwezo Wa kumtoa Nusrat Hanje Nje ya utaratibu Wa mahakama na kwenda kuapa?Hilo alilijibu technically sana ili kuepuka kuchafua hali ya hewa. Personally, I am speculating kuwa, mwamba anaweza kuwa anahusika katika hili. Halma hawezi just kuchukua decision ya hivo bila kuwa na backup ndani ya senior leaders. Hata kama mwamba alikana kushiriki kwake, ila kuna hiyo possibilities.