Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

Ha ha ha ha!kuna msemo ng'ombe azeeki maini mkuu,unaweza ukaamua kuwaachia ulingo vijana ukaona wanazembea ukaamua kurudi mwenyewe ulingoni kuwaonyesha vijana how it suppose to be done!
No no no, Mkuu 1800, mimi kwishney mpaka maini!, nimebaki ...kwa macho tuu!.
Ila nyie vijana wa siku hizi sijui vipi!?, nakua waoga waoga tuu kujaribu, sisi enzi zetu, moyo ukimdondokea, unamtokea, unajaribu, ukikataliwa unasinga mbele lakini angalau ulijaribu!. Wewe kama ni bado kijana, na hayo usemayo ni kweli, jaribu bahati yako huwezi jua!, ila ni comandoo angalia usije ukataka kuleta za kuleta!, utatoka manundu!.
P.
 
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
hivi mkuu wewe una majimbo mangapi?
 
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.

propaganda dhaifu
 
what the hell!!!?? yawezekana ni mwisho wa mwaka... tunakuwa distracted kirahisi sana... ndio maana kuna mtu aliingia Ikulu kwa sababu alikuwa "so handsome"...
 
Sawa mkuu!natumahi ujumbe umekua delivered si kwangu mimi tu,bali kwa vijana wote wenye uoga uoga,kuhusu u comandoo wake usihofu,atadhibitiwa tu!ha ha ha ha!week end njema mkuu!
 
what the hell!!!?? yawezekana ni mwisho wa mwaka... tunakuwa distracted kirahisi sana... ndio maana kuna mtu aliingia Ikulu kwa sababu alikuwa "so handsome"...

Joka la mdimu/Membe nae ni "so handsome"....Nimekupata Mkuu, pengine hii ndiyo sababu kuu miaka 50 ya uhuru bado TUNAKULA "We Missing U Maendeleo... Mboga na chachandu zikiwa "We love u Ujinga, Maradhi, Umasikini na Ufisadi"....
 
Hapa bukta au tracksuit ilipata shida kidogo mkuu enh"
 
Mkuu Pasco tuitendee haki pia NCCR wana mbunge mmoja mwanamke kutoka Kigoma.Au mkuu umejumuisha NCCR na mbunge wao Agripina Buyogela ni sehemu tu ya CCM?
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.

acha propaganda ulimchagua mdee wewe , we c ulichagua gamba mwenzako?
 
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.

Pole na Mateso ya Josephine. Mimi pia ni Mbunge wangu ila ametutosa Madale tumeumizwa tumeibiwa, polisi walioiba wamekiri lakini hakuna jinsi ya kupata mali zetu. Mbunge wetu na Waziri kivuli wa ardhi hajishughulishi. Serikali dhaifu Mdee dhaifu na wewe Ritz dhaifu. Naomba umpe kura yako 2015 mimi simpigii.
 
Watu wenye sauti kwenye jamii badala ya kusaidia kwenye kuhamasisha nafasi na uwezo wa mwanamke kwenye nafasi za maamuzi, uchumi na siasa mnaanza kusambaza sifa za uzuri wake

Ni aibu

Uzuri ni kujitambua na kutambulika wanawake wachache wanaqlijua hilo
 
Anaye kusanya kodi ndiye anatakiwa Kuleta Maji,Barabara nzuri,Shule na Hospitali.Ndio kazi ya Serikali Makini.Hizo huduma kama hamna uhalali wa kulipa KODI haupo.

Msipende koropoka kwa mambo msiyo jua.
 
Jamaa una nafsi zaidi ya moja?metaphysics hii...ulipiga kura Kawe na Ubungo?hukawii kusema hata Sugu ulimpigia kura Mbeya
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
 
Last edited by a moderator:
Ritz una lako jambo,nakumbuka mpinzani mkuu wa Mdee alikuwa Mbatia jee???? ... Mnh haya bwana!

Mbatia alikuwa wa tatu mpinzani wa Mdee alikuwa mwanamke mmoja sasa hivi ni mbunge wa Afrika Mashariki.
 
Mbatia alikuwa wa tatu mpinzani wa Mdee alikuwa mwanamke mmoja sasa hivi ni mbunge wa Afrika Mashariki.
Wewe ni gamba inawezekanaje mgombea ubunge wa jimbo lako kupitia mabwepande usi mjue au ndiyoo unazidi kujianika kuwa wewe ni mnafiki kama mwenyekiti wako mhaongwa suti na mpiga dili za madawa ya kulevya...
 
Jamaa una nafsi zaidi ya moja?metaphysics hii...ulipiga kura Kawe na Ubungo?hukawii kusema hata Sugu ulimpigia kura Mbeya

Naona makamanda mnaropoka ovyo tu mtadhani mmekatwa vichwa, nimewambia leteni ushahidi lini nilisema mbunge wangu Mnyika...kumbe nikimchana Mnyika apeleke maji Kimara Bonyokwa mnadhani ni mbunge wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…