Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

Naskia kesho watakuwa mitaa ya home MAGU, Napenda kuwakaribisha sana pamoja na kwamba sitakuwepo lakini nimetoa gari yangu kwa ajili ya kuwapokea hapo Masanza.VIVA CDM

Ubarikiwe sana Kamanda tunapenda watu kama nyie! Hapo Masanza kona iwe ngome ya Chadema!
 

Go! go! go! CDM goooo!
 
unaona gele mkuu hapo hamna cha FUSO na wali ni full nguvu ya umma imependezaje, CCM na wawekezaji CDM na wananchi

Kunti Yusuph kabla ya kujiunga Chadema alikuwa anavaa Hijab muda wote.. Sasa hivi hijab siioni, Atakuwa kashabatizwa sasa hivi
 
Kunti Yusuph kabla ya kujiunga Chadema alikuwa anavaa Hijab muda wote.. Sasa hivi hijab siioni, Atakuwa kashabatizwa sasa hivi

Lile gwanda la Chadema na Hijabu wapi na wapi mkubwa! Wakati wa Hijabu ni wahijabu vua gamba vaa gwanda!
 
laiza mtoto wa magamba MaCCM, unadhani ni familia ngapi za Watanzania wenye TV!!
Na waangalie , magamba na wake wabebana na kucheza kiduku???
Katiba gani ya mafisadi Chenge na Sita???
Hapo ni Noooooooooooo!!
Hadi mwisho!!
 
Last edited by a moderator:
Wanatanzania tunataka mageuzi ya kweli kanda ya ziwa mnatisha hakika taifa litakombolewa kupitia ukerewe , mwibara, Bunda, Musoma, Tarime, Butiama nk. Kazeni kamba tuko nyuma yenu Chadema.
 
ndugu zangu cdm/ukawa mnavo fanya sio vizuri, mnabana mno jaman, kwa mwendo huo mtakuja kuwaua kwa pressure magamba
 

Mashabiki wa cdm ndo wapiga kura wa CCM,,endeleeni kujifariji...
 
Trezo hao sio Wakurya ni Wakerewe, kwao Gretruda Mongela na Pius Msekwa!!
Upoo.??
 
Nguvu ya ccm inategemea sana wanawake, nguvu ya upinzani ipo kwa vijana wa kiume, ni wakati wa mdee na wenzake kuwaonyesha wanawake wenzao kwamba wanaweza kupata matumaini mapya nje ya ccm

Umenena vyema kamanda! Ni kweli ccm wanasuppprt kubwa ya wanawake; ni muda muafaka xx wa upinzani kuwatumia Mdee et al kuwashawishi wanawake wenzao kuwapa support upinzani! Vile vile bavicha wasibwete waendelee na mapambano 2015 c mbali! Hapo ccm itakuwa imepgwa bao la kisigino!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…