Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

duh ccm mav....... yanawapiga chpni na kurudi kwa uoga walonao. ukawa ndo habari ya mujini bhana. tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu inshallah
 
Safi sanaaaa,kwa asiyejua akaangalie video ya juzi wakati wakiwa Mz mjini atautambua mziki wa Chadema ..ccm wanajiharishia tu

Kamanda ule mziki wa Mwanza ilukuwa hatari! Niliona maandamano ya wananchi kutika vile viwanja vya furahisha usiku yani nililala usingizi mlaini sana! Halima Mdee ni moto wa kuotea mbali usipime!
 

kama vile pichani nimemuona rafiki yangu kajigo maugo,tungarazya,muhabi,lwitakubi etc....hataree makamanda..bila kumsahau masika
 
Sipati picha uko Nyumbani Nasio,Murutungulu,wanavyomsubili kwa hamu sana.

Hapatatosha! Wambie wafike Kagunguli, Hamkoko, Mahande, ukara, Ilangara, nipe na vijiji vingine! Raha sana wakerewe mnaakili sana Chadema mwendo mdudu!
 

Hongereni sana makamanda tupeni raha!
 
Duh habari za namna hii nilikua nimezimis sana hapa jukwaani,
 
Mdee alipofuatwa na wanawake kumshawishi agombee nafasi hiyo, alilia machozi. Nilijua wamemtia moyo kwa kutambua mchango wake kwa chama. Mdee ni mpambanaji asiyejali maslahi binafsi. Niliwahi kukutana na Mdee Katika kijiji kimoja huko Dodoma porini sana, kijiji ambacho tangu uhuru hakuna kiongozi wa kitaifa aliyetembelea,
lakini Mdee alifika na tímu yake na alilala huko. Matokeo yake kijijini hapo huwaambii kitu na Chadema. kwa ufupi, namtabiria makubwa H Mdee ktk siasa za Tz.
 
Duh habari za namna hii nilikua nimezimis sana hapa jukwaani,

Hahahaha! Ni burudani sana wakerewe wanajipa raha sana leo na Chadema yao. Nauli za michumoko na bodaboda kwa ukerewe ni karibu na bure.
 

Huyu Kunti Yusuph mbona hajavaa HIJAB? Au ameshabatizwa? Asikanyage Zanzibar abaki huko huko Ufipa..
 
Huyu Kunti Yusuph mbona hajavaa HIJAB? Au ameshabatizwa? Asikanyage Zanzibar abaki huko huko Ufipa..

unaona gele mkuu hapo hamna cha FUSO na wali ni full nguvu ya umma imependezaje, CCM na wawekezaji CDM na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…