Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

Tulia wewe kubwa jinga ungesikia hutuba ya kamanda kilewo ungejiona m.c.h.u.m.b.a sana kuongea upuuzi hapa... kubwa.. j.i.n.g.a kama wewe.. hongera Kilewo wewe ni level zingine...

gaidi kilewo amekimbia jimbo la maghembe baada ya kuchemsha naona sasa anatapatapa tu.alifikiri atapewa kick kwa kumtukana zitto.huyu kilewo amechanganyikiwa.mke wake anamtukana mbowe lakn yuko kimya tu.huyu anakisaliti chama
 
jamani makamanda.kwa nini mke wa kilewo anamtukana sana mbowe.au ametumwa na kilewo mwenyewe
 
gaidi kilewo amekimbia jimbo la maghembe baada ya kuchemsha naona sasa anatapatapa tu.alifikiri atapewa kick kwa kumtukana zitto.huyu kilewo amechanganyikiwa.mke wake anamtukana mbowe lakn yuko kimya tu.huyu anakisaliti chama

Kama ndivyo mnavyodanganyana kuwa kamanda Kilewo amemkimbia huyo profesa waziri mzigo basi mmepotea sana. Kilewo anajiandaa kuapishwa kuwa mbunge wa Mwanga mwaka 2015 na waziri mzigo Maghembe analitambua hilo.
 
Tatizo lako wewe ni la mtindio wa ubongo,unapenda umaarufu njaa.Wao wana mkutano na wengine wapo msibani sasa ulitaka wote washiriki msiba uso wahusu? Wewe ni kj tu huna lolote unataka tujue ulikuwa kwenye msiba wa msichana aliyefariki Marekani.Mbona misiba mingine ya wanaofariki hapahapa bongo huwa huongei ma.shu.zi haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…