Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Mamlaka hiyohiyo unayojigamba umeiweka ndo hiyohiyo kila kukicha inaibiwa pesa na kushindwa kuwakamata wezi, ndio hiyohiyo ndani yake kuna watu wanaihujumu kwa kila namna,ndo hiyohiyo wezi wakiiba huambiwa rudishen tu YATOSHA, ndo hiyohiyo ambayo inashindwa kuwahudumia wananchi wake kupata maji safi,elimu bora,maji,huduma za afya ukiwemo na wewe mwenyewe mdau katumbiliKwahiyo yeye akajua tayari anaweza kuamka tu ameshiba makande yake na kwenda ikulu, ajifunze kuheshimu mamlaka ya nchi asipoiheshimu mamlaka iliyowekwa na sisi wananchi kwa wingi wetu atapigwa tu
Mamlaka hiyohiyo unayojigamba umeiweka ndo hiyohiyo kila kukicha inaibiwa pesa na kushindwa kuwakamata wezi, ndio hiyohiyo ndani yake kuna watu wanaihujumu kwa kila namna,ndo hiyohiyo wezi wakiiba huambiwa rudishen tu YATOSHA, ndo hiyohiyo ambayo inashindwa kuwahudumia wananchi wake kupata maji safi,elimu bora,maji,huduma za afya ukiwemo na wewe mwenyewe mdau katumbili
Hahahaaaaaa we kenge kweli unataka nifikiri kibavicha bavicha kama wewe? uwezo wako uko chini mno kama soksi zangu
mmm ujinga wako peleka huko lumumba usiniletee upuuz wenu.... Kwani ikulu inahama, hakna watu, ombeni sefue naye yupo dodoma? Mjinga ngedere wewe
Anaitendea haki nafasi yake ya mwenyekiti
Hujaeleweka
Leo kulikua na maandamano ya baraza la wanawake CHADEMA yaliokuwa yanaelekea ikulu kudai kuchakachuliwa kwa rasimu ya katiba yakiongozwa na mwenyekiti Halima Mdee, polisi wakaingilia na wakawatanya pia kumkamata Halima Mdee, kwa sasa yupo mbaroni.
Chanzo: ITV Breaking News
Na wakikuta dume watafanya nini? maana hata mashehe mliwaangalia mkakuta ni madume mkawatumia kama wakike. Hii laana haitawaacha wao na vizazi vyao.Napia wamwangalie kama ni mwanamke kweli! yaweza kua anaigiza kuwa mwanamke kumbe dume. nchi hii italindwa na raia wake wanaotii sheria bila shuruti ukikaidi utapigwa tu
Hawa jamaa akili zao mbovu sana, wanashindwa kukamata wauaji wa albino wanakuja kukamata wamama wanaopigania haki.
mkuu tumia uelewa wako kutambua sababu za maandamano ya kamanda mdee na wenzako;si kila kitu ww unaongozwa na buku7.
Hujitambui kima wewe..... Maandamano haki ya wote si kinana na ccm yenu
hao ni WACHOCHEZI TU.....ACHA WAHIFADHIWE KWA MUDA.