Unaongelea fursa gani hapa maana fursa ninazo ziona niza kuimba bongo flava, kubeba unga na kutolewa kucha na meno bila ganzi.
Wachina, Wahindi, Wakenya, wanaziona, wewe una macho lakini hayaoni una masikio lakini hayasikii.
Na utabaki hivyo hivyo kulalama, kubwabwaja na kuhororoja kama walivyo wote wasioona. Wacha tunaoona na tunaosikia tuendelee kudeza na mifursa isiyo na mfano.
Umeambiwa mwanamke! Punguza haraka.".....Mbunge wa dar es salaam kutoka Upinzani kushinda
Uchaguzi bila kutoa Rushwa..."
Vipi Mnyika?!
Na wewe nunua yako, unase wengi!
na hii nini????????............. Hahahahahaha nyerere alijitahidi kwa nafasi yake lakini hali bado tete katika lugha yetu
Wachina, Wahindi,
Wakenya, wanaziona, wewe una macho lakini hayaoni una masikio lakini
hayasikii.
Na utabaki hivyo hivyo kulalama, kubwabwaja na kuhororoja kama walivyo
wote wasioona. Wacha tunaoona na tunaosikia tuendelee kudeza na mifursa
isiyo na mfano.
Ni kweli unachangamkia "mifursa" maana walivyokuchosha!?
Fulo kampaisha Gwajima, sasa hivi atafikia level za Diamond kwa 'usukari wa warembo'
Hivi mume wa Rose Mhando ameruhusu mke wake aende kwa Gwajima kusali?
Isije ikawa kama ya IMA na Frola.
Sipati picha wakiwa angani wakigegedana,nasauti ya huyo Dada
Daa naona Gwajima kaanza uongo na utapeli!
Muda si mrefu tutasikia frola kazipiga na mdee !!!!
Tapeli kama kina Joshua, Kakobe, Gwajima, Mwingira na wengineo....:angry::angry::angry:
Mkandara,
The only response I have for you is a big AMEN!!
Halima Mdee ni mbunge wa jimbo langu ameshindwa kuwasaidia wakazi wa Kawe.
Mdee alitoa ahadi kuwa utajenga soko la samaki Kawe na utajenga shule Kunduchi mtongani.
Mandazi road mashimo matupu hakuna mitaro kukimbilia Kanisani siyo dawa.
halima mdee, mbunge wa kawe kwa kifupi nina mashaka na mambo yake ki ufupi haeleweki vizuri kama walivyo wengi katika chama chao, wengi wao maisha ya ndoa zao na familia zao hayaeleweki eleweki, na mashaka kama tukiwapa nchi hawato tusaliti na kufanya ufisadi zaidi ya ccm.