THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
SERIKAKI!!??? rudi darasa la pili A
Kuna mtu hapa alikuwa anadai kuwa Mdee amewatelekeza watu wa Kawe.
Umekosea niko Mbagala Maji Matitu!We si unakaa mbagala kizuiani mambo ya Mbezi yanakuhusu nn? Acha unafiki!
Ahsante kwa taarifa mkuu. Sijui gamba MAFILILI litaficha wapi sura yake?
Clouds wemesifia wabunge chadema ujue hiyo ni kweli na haina chenga.!
MAFILILI, MAMA POROJO, wananchi wa Kawe wanajisemea wenyewe.
Imekugundulika wananchi waliojipeleka Clouds TV na kutoa ushuhuda ni kundi la akina Chuwa, Masawe, Mramba, Mremi, Swai, Lema, Shayo, Shio & Co. Janja ya Mdee tumeigundua, 2015 ni mwisho wa Mdee na Chadema kwa ujumla jimboni kwetu tumewagundua hamna tija kwa wananchi
Kuna sredi ya jamaa wa Mbezi akimlalamikia barabara za Mbezi.Hii ni janja tu, Mdee kawapanga Clouds ili aonekane amefanya mazuri Kawe; Uhalisia Halima Mdee hauziki tena jimboni Kawe
eti ushabiki pembeni ni kwa chadema tu. ujinga. halafu unatakiwa ujue kwamba suala la maji ni miongoni mwa ahadi za jk wa wana-dar wote tupate maji. full stop.Hakika leo clouds imeweka ushabiki pembeni
Hii ni janja tu, Mdee kawapanga Clouds ili aonekane amefanya mazuri Kawe; Uhalisia Halima Mdee hauziki tena jimboni Kawe
safi sana mbunge wetu,njoo na huku mbezi juu,maeneo ya jogoo mabomba ya wachina hayatoi maji,tumefuatilia dawasco hadi tumechoka!karibu muheshimiwa
Hii ni janja tu, Mdee kawapanga Clouds ili aonekane amefanya mazuri Kawe; Uhalisia Halima Mdee hauziki tena jimboni Kawe
Hima Hima wana CCM sasa ni wakati wa kuwa wagumu ili chama kibadilike muonekano wake miongoni mwa wanajamii. Kuzorota kwa CCM ni anguko la wazee, vijana na watoto wenye utashi na upendo wa dhati kwa Tanzania.
Nawashangaa wana CCM wenzangu wa mkoa wa Mtwara kubadilika na upepo wa msimu ambao mbeleni MTAJUTA, CHADEMA inataka kuwatumia ili waweze kutimiza kura TU.
Chonde chonde Wamakua, Wayao, Wamakonde na Wamwera kwa nini mnatutesa nyie ni CCM damu damu tangu enzi za TANU mliitikia vyema sera za Ujamaa na Kujitegemea, mkawa mfano wa VIJIJI VYA UJAMAA, leo hii Dr. Slaa & CO mnawapa nafasi hadi vijijini kwenu kufungua matawi.
Mkuchika, Ghasia, Mama Kasembe, Murji, Mkapa wa Nanyumbu, Njwayo na Bwanausi fanyeni KIKAO CHA DHARULA tuepuke FEDHEHA ya leo CHADEMA kuingia hadi maeneo ya jikoni!!!!
Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika halmashauri husika. Wabunge wao wameshindwa kukaa chini ili kusikiliza kero za wananchi na kuzitafuatia ufumbuzi.
Wananchi wa maeneo hayo wamesema "wanajuta kuwachagua wabunge ambao wawapo bungeni wanashikiria maslahi ya chama zaidi kuliko matakwa ya wapiga kura". Mbaya zaidi wabunge wao wanatumia muda mwingi kuhamasiha wananchi washiriki maandamano badala ya kuwahimiza wafanye kazi ili wajiletee maendeleo. Wanachadema muwe wawazi kuwaambia wabunge wenu WABADILIKE!!
Hapa ni wa Ubungo.Huyu Mnyika tangu amekuwa mbunge nini katufanyia wana Ubungo??? Barabara ya Golani - Suka kashindwa, Makabe usiseme; wananchi tunamkumbuka Keenja
Hapa wa Mwanjelwa MbeyaNasie wakazi wa Mwanjelwa twamtaka Sugu aje kugani mistari
Samahani kwa kutoa malalamiko dhidi ya mbunge wangu. Mie mambo ya Temeke, Ilala, Ubungo nk hayanihusu nimezungumzia mbunge wetu. Wapiga kura wamepigwa na polisi pia wakachomewa nyumba na mashamba yeye ameshindwa kuwasaidia wala kuwapa pole. Kuwa mkweli Halima Mdee hatupi haki yetu wana Kawe
Ni vyema ikafahamika kuwa miradi ya wananchi inatekelezwa na serikali au wahisani jwa niaba ya serikali. Hivyo bila serikali kuuamua na kutenga fedha, hata mbunge apige kelele vipi haitasaidia. Hii ni kwa wabunge wote bila kujali vyama. Ndo maana pamoja na kumpongeza mbunge kwa ufuatiliaji ni lazima pia serikali ipongezweSERIKAKI!!??? rudi darasa la pili A