Tunaposema chadema iko ICU ama imekufa ni vyema mkaelewa na kukiri ukweli huu ili twende sawa. Kagenge kalichoambatana na halima kwenye maandamano ni kichekesho kitupu. Namsikitikia sana dada angu huyu ambaye ana wakati mgumu sana jimboni kwake kawe.
kakikundi hako kamerushwa live kwenye media wakati wa taarifa za habari. Mbaya zaidi imerushwa na itv ambayo wanazi wa chadema wanaisifu na kuishabikia mno.
source: ITV habari....
Kwa akili zao wanadhani ikulu wangeruhusiwa kufika? Waislam wenyewe na kanzu zao walishindwa kufika.. Pale ikulu yupo wasira yule nyani ataishia tu kuwatukana ...
Linachoendelea hapa ni kujitafutia manundu na maumivu tu ... Kwanza halima si alikuwa na Kikwete juzi tegeta?
Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu, Viva Chadema
Yaan akili yako yoote ndo imekuongoza utukane tu? Mh.?Manina zenu mnatafuta sifa za kisengei hakuna kuwalazia damu sasa ni virungu mpaka mnyooke
Hiyo hofu labda ulikuwa nayo wewe na familia yako..sisi huku mwanza na tanzania nzima tunakula maisha wala hatujui kuwa kuna mtu anaitwa halima mdee katiwa mbaloni!
Wabunge wetu ni vinara wa kuongoza maandamano tu!!!Halima Mdee, sisi wapiga kura wako wa Kawe tunataka maji na barabara Msasani hatutaki maandamano.
Huwezi kuzuia nguvu ya uma, hata uwe nani.
Ova
Kukiwa na hofu kubwa nchini kwa takribani masaa matano (5)
Muda huu ndio Mwenyekiti wa Bawacha anapata dhamana baada ya kukamatwa kwa mara ya pili jioni hii alipokuwa anahutubia mkutano wa mbunge Bunju. Pia na aliokamatwa nao watu 19 wanaondoka baada ya Mbowe na Mbatia kutia ngumu kuondoka kituoni .
Ni aibu sana kwa IGP Mangu ambaye mpaka leo Haijulikani kesi ya kifo cha Barlow ilikoishia hata baada ya yeyey kuwa IGP MWANZA ......
Gaidi ni Mangu na atalizwa sasa hivi kutakuwa na civil disobedience ya hali ya juu manake yeye anataka kutawala kwa mtutu wananchi hawatakubali kamwe