Halima Mdee aachiwa huru

"A learned fool is more a fool than an ignorant fool" ndo akili za ccm na utawala wao.
Hawataki kukubali kuwa wananchi hawawataki wamebaki kutumia nguvu na mbinu OVU ktk kutawala.
Hakika HAWATAKIWI ni zilipendwa kwa sasa.Mbaya zaidi wanaharibiwa na police kabisa.
Mleta uzi uwingi wa watu umepungua kutokana na mabavu na vitisho vya police,kitu ambacho ni ukiukwaji wa HAKI za binadamu ya kuandamana tena kwa AMANI.
"UKWELI UNAOUMA"
 
Tanzania kama ni nchi mojawapo waliokubali nakala ya "IDHR" (International declaration on human rights, lazima wazikubali "artcles" zinazowapa raia haki ya ku "protest" wakiona haki zao hazitiliwi maanani. sasa hivi watawala wa Tanzania wapo chini ya darubini. kuna "investments" chungu nzima za watu wa nje na ikibidi wapoteze mali zao, hilo halikubaliki. Wanajua nguvu ya umma ni kubwa. Na watawala wetu wanajaribu kucheza na nguvu za umma. Kwa hali inavokwenda, serikali na vyombo vyake wanakeuka maadili ya uongozi bora bila wasiwasi. Siku za mbele zitatueleza zaidi tunako kwenda.
 

mara ishakufa , mara iko ICu , mara itakufa 2013,mara haina mvuto..kipi ni kipi sasa?
 
Hiyo bangi huwa mnavuta mkiwa pamoja?

Wacha kukurupuka, tatizo lenu magamba mkishaona mmezidiwa hoja humu JF, huwa mnaanza kashfa na matusi!

Hio ni kweli wana andika uupuzi sijui kwanini huwa zinaachwa na wange koma ku comment upuuzi
 
niliambiwa na mama yangu hataki ni mzungumzaj wakat wa kudai haki tanzania wataniua ninafanya hivyo kwa kuwa wananitegemea me mwanae
ubarikiwe mama(mwl nyoni) kwa kunipa mawaz hayo nam nakuahidi kufany kama ulivyo niambia
 
Nguvu ya polisi wa Tanzania ipo katika kuzima maandamano ya amani, lakini suala la uhalifu likitokea hutawaona mpaka baada ya saa nne baada ya majambazi kwenda. Hatuna jeshi la polisi ila ni kikundi cha wahuni tu.
 
Hakuna polisi mwenye akili timamu Tanzania....ndio maana chrisslukosi alikimbia hii kazi ya upolisi.

Na bora alisepa wanajitoaga ufahamu na ukichangia wamefoji vyeti kila upuuzi wanafanya bila kutumia akili hii mijitu aisee
 
Last edited by a moderator:
We pimbi utawala huu ungekuwa wa kidikteta hata kabla hujamaliza kuandika haya ukiyopost umeshakamuliwa mavi sa nyingi acheni kufuru.mlijisahau tuu kipindi cha mwema nchi inatakiwa inyooke ili watu waache siasa za kisenge kama za chadema na.kufanya kazi
 
Mimi siku hizi naona ni bora tu nikae kimya inasaidia kuliko kukaa na kuanza kubishana na wehu humu ndani. Kuna watu wanakera na wanaweza kukusababishia ban ev'now & then, huchomoki nakwambia. Sasa mtu anaunga mkono kitendo kama hiki, hivi yupo OK upstairs kweli?
 
Umeshindwa kua mstaarabu kusikiliza kwanini wawe wastaarabu kukuzuia? Hakuna nchi yeyote dunia inayovumilia ujinga tunaona sana kwenye vyombo vya habari virungu vikitembezwa

mbona hueleweki?which school did you go?
 

CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
Tatizo la polisi wetu Bange.. Sina uhakika kama Mdee hakuomba kibali. Ni bange na viroba polisisiem walikuwa wameshaamsha.. Maana nimemuona kwenye picha m1 akishadadia kabisa kubishana na mdee as if naye alikuwa bunge la katba ya interahamwe. Kweli nimeamini msukule so ad umfuge ndani awe na makucha marefu na minywele. Hata hawa mwela ni misukule tu.
 

Hivi lile tangazo la mkuu wa jeshi la polisi kuwa maandamano yoyote ya kupinga mchakato wa bunge maalumu la katiba ni haramu na kuwa hayataruhusiwa kwa sababu mchakato ule unaendelea kwa mujibu wa Sheria, hawa watu hawakusikia???
 
tatizo la jeshi letu la polisi wengi ni darasa la saba,tena waliingia kama wapuliza bigula,hawajui chadema wanacheza na akili zao ,yaani high qu yao ni ndogo, waache waandamane, wakiwa zuia ndio wanazidi kuwapa umaarufu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…