Halifichiki eeh...

Halifichiki eeh...

Kumbe hii series Tamu hivi! Duh...kama Ya kikorea.
 
Leo ndio nimejua sifuri na ooo zina maumbile tofauti
 
Mbona tiyari ndoa imeleta kasoro jamani? Nilimsikia yule msajili akiuliza umma kama kuna mtu mwenye hiyana aseme kabla mambo hayajaenda mbali. Kukawa kimyaaa. Msajili akasema, kama hakuna, basi mtu yeyote asijejaribu kutamka kitu tena milele.
Huyu, mmemtoa wapi enyi wabongo?? Isijekuwa ni mpango ule ule alowekewaga Gwaji. Hamkosi kutafuta visa nyiye. Harusi ilitangazwa siku 21, mitandao ikaeleza hata mji wanapokwenda fungia harusi. Leo, alikuwa wapi huyo mwenye hizo figizu??
Hakuna mtu aliyeniudhi ka Flora kwa kuolewa mara ya pili, tena ati kwa kuvaa "Shela" kwani ni bikira?? Lakini, sitaki fitna. Mwambieni huyo, anyamaze kimyaaaaa. Picha sio ndoa.
Acha wivu wewe,nilitaka kusema acha wivu wa kike nikagundua we ni wa kike pia....Kwani we utakavyo falishwa shela ukioelewa utakua bikira?ushavunjwa zamani na shela utavaa
 
Acha wivu wewe,nilitaka kusema acha wivu wa kike nikagundua we ni wa kike pia....Kwani we utakavyo falishwa shela ukioelewa utakua bikira?ushavunjwa zamani na shela utavaa

Mkuu;
Si zoei matusi lakini kwako weye ni sawa tu. Kwa vile tumekaa pamoja kwa mda mrefu bila mimi kukufumua marinda ndo ,maana ukaniona ni ke. Hapana mkuu, sikupewa kibali cha kuzibua mitaro ya maji taka
 
Hapa ndipo unapouhisi mwili wako ukifanya Kazi kikamilifu, maana huku ni mchanganyiko wa kijasho chembamba, mkojo, tumbo LA kuhara, machozi na kamasi kwa pamoja
U have made ma day. It's very true
 
mi ndio maana hata nikikutana na demu ana watoto wanne sitaki kujua about her past, na ninamueleza wazi kabisaaaaaa, rara nikurare nikurenge, hapa ndio nakutoa bikira, sahau mabwana wako wote, tunaanza mwanzo. Akishindwa kuelewa ataambulia one night stand
Akyaaa Mungu.. We mshikaji ni mkurya nini?? Nimecheka mpaka basi... Mbavu zangu jamani.
Exactly hiyo ndo dawa yao siku hizi utu tudemu kama tuna rahana fulani.
Kila kamoja kanajiona kako matawi ya Juu sana wakati ndani ni zaidi ya bwawa la kufugia samaki
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji81] [emoji81] [emoji116] [emoji115]
Akyaaa Mungu.. We mshikaji ni mkurya nini?? Nimecheka mpaka basi... Mbavu zangu jamani.
Exactly hiyo ndo dawa yao siku hizi utu tudemu kama tuna rahana fulani.
Kila kamoja kanajiona kako matawi ya Juu sana wakati ndani ni zaidi ya bwawa la kufugia samaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom