Halifichiki eeh...

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,639
729,583
IMG-20170502-WA0020.jpg
 
Mbona tiyari ndoa imeleta kasoro jamani? Nilimsikia yule msajili akiuliza umma kama kuna mtu mwenye hiyana aseme kabla mambo hayajaenda mbali. Kukawa kimyaaa. Msajili akasema, kama hakuna, basi mtu yeyote asijejaribu kutamka kitu tena milele.
Huyu, mmemtoa wapi enyi wabongo?? Isijekuwa ni mpango ule ule alowekewaga Gwaji. Hamkosi kutafuta visa nyiye. Harusi ilitangazwa siku 21, mitandao ikaeleza hata mji wanapokwenda fungia harusi. Leo, alikuwa wapi huyo mwenye hizo figizu??
Hakuna mtu aliyeniudhi ka Flora kwa kuolewa mara ya pili, tena ati kwa kuvaa "Shela" kwani ni bikira?? Lakini, sitaki fitna. Mwambieni huyo, anyamaze kimyaaaaa. Picha sio ndoa.
 
Mbona tiyari ndoa imeleta kasoro jamani? Nilimsikia yule msajili akiuliza umma kama kuna mtu mwenye hiyana aseme kabla mambo hayajaenda mbali. Kukawa kimyaaa. Msajili akasema, kama hakuna, basi mtu yeyote asijejaribu kutamka kitu tena milele.
Angejotekeza wapi, wakati Flora alitoa kadi kwa watu wake tu maalum
 
Ndo maana hata mbasha alipoomba msamaha alikataa, kumbe alikua ana haribu ndoa nyingine huku!!
 
Back
Top Bottom