Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 16,157
- 33,517
Power within is very destructive. Wahenga walinena kikulacho ki nguoni...?! Ni bora mkapigana vita na mataifa ya nje mshindwe na kusalimu amri kuliko vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo kila mmoja wenu anamjua mwnzake vyema hadi mahali anakoanikia nguo za ndani.Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..
Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?
Naona yaliyotokea Libya ...
Israel iwasaidie basi ndugu zao..