Hali yazidi kuwa tete Ethiopia, Marekani yawataka raia wake kuondoka

Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..

Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?

Naona yaliyotokea Libya ...

Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Power within is very destructive. Wahenga walinena kikulacho ki nguoni...?! Ni bora mkapigana vita na mataifa ya nje mshindwe na kusalimu amri kuliko vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo kila mmoja wenu anamjua mwnzake vyema hadi mahali anakoanikia nguo za ndani.
 
Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..

Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?

Naona yaliyotokea Libya ...

Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Hili swali niliuliza kwenye jukwaa la Kenya news and politics,sikupata jibu, yaani mm nashangaa, Ethiopia kupigwa Kama watto na kakikundi ka TPLF Wana ndege,drones,vifaru etc,kitu amabcho siamini Kama waasi wanavyo vyote hivyo.
 
Inashangaza sana
 
Kuna mkono wa us,abiy kailaumu us
Hata kama kuna mkono wa US, wasitafute mchawi nani.., nchi kama Ethiopia yenye nguvu za kijeshi kama tulivyoaminishwa sio ya kuanza kusema eti kuna mkono wa US.

US alipigwa Somalia akakimbia, alileta askari , silaha, ndege vita n.k... Ethiopia Leo hii ipigwe eti kisa tu US kaingiza vi silaha?
 
Dah,uko mb

Dah,uko mbali kinoma na uhalisia
 
Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..

Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?

Naona yaliyotokea Libya ...

Israel iwasaidie basi ndugu zao..

Watigray wamechukua pia mateka wa kutosha.

Ni vyema Abiy akubali mazungumzo tu amalize huu mzozo.

01Tigray-09-mobileMasterAt3x_1.jpg

01Tigray-08-mobileMasterAt3x_1.jpg

Ethiopia Tigray-conflict_1.JPG
 
HYO YOTE SAWA ILA MIMI NAJIULIZAGA SANA MAREKANI ANA JAMBO GANI NA NCHI ZENYE MAPIGANO? KWANI HPO ETHIOPIA IPO BALOZI YA MAREKANI PEKEE?
Hivi ndugu yangu unajua historia ya Ethiopia? Naona kumekua na generalization kuwa masaibu yanazozikumbuka nchi za Kiafrika ni Marekani, Mabeberu nk. Lakini kuna sababu nyingi ndani za nchi za Kiafrika zimejengwa na sisi wenyewe tu. kumbuka ni kama miaka 60 tu iliyopita toka nchi nyingi za Kiafrika zijuipatie Uhuru wake toka kwa wakoloni, na Ethiopia ina historia ya kutotatawaliwa na wakoloni!

Unahitaji kusoma kidogo historia ya nchi hiyo na kujua toka enzi za utawala wa Haille Selassie (1930-1974) aliitengenezea hiyo inchi hiyo kushindwa, yaani hakuinganisha kabisa, na hii ilipelekewa kuondolewa na akina Mengistu Haile Mariam na Derg (Socialist Military Junta) miaka 1977 mpaka na yeye alipondolewa kwa mapinduzi ka kukimbilia Zimbambwe 1991.
Hivyo nchi za nje Urusi (Soviet Union) na Marekani huwa zinapata mwanya tu kwa kwa matatizo ambayo Waitheopia wamajitengenezea wenyewe kwa miaka mingi.
Itachukua muda mwingi kukueleza jinsi jamii ya Ethiopia ilivyogawanyika kwa majimbo na kimakabila! Sio Marekani iliyofanya hivyo! Hata hao waasi wa Tigray wakichukua nchi unajua wazi watakapoelekea! Inasikitisha sana.
 
Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..

Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?

Naona yaliyotokea Libya ...

Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Civil war ni kitu kingine mkuu we kisikie tu kwa watu.
Marekani na ubabe wake wote anaogopa sana uasi wa ndani, madhara yake makubwa sana.
 
HYO YOTE SAWA ILA MIMI NAJIULIZAGA SANA MAREKANI ANA JAMBO GANI NA NCHI ZENYE MAPIGANO? KWANI HPO ETHIOPIA IPO BALOZI YA MAREKANI PEKEE?
US ni Global policeman.Alishajipa hicho cheo na dunia nzima ikakubali.Super power.Imeisha hio
 
Leo hii wamefika mji wa Afdea ulioko kilometa 98 kutoka Addis Ababa. Abiy Ahmed atumie busara kuzungumza na hao jamaa. Leo,Makundi 5 Kati ya 9 yaliyoahidi kujiunga na Tigray kuiondoa Serikali Madarakani yametuma Wapiganaji elfu 50 kuungana na vikosi vya Tigray. Hii Vita Serikali Kuu haiwezi kushinda.
Hamuwezi kuzungumza wkt mmoja wenu anajiona ana power kuliko mwenzake.Ili mzungumze angalau nguvu ziwe zinakaribia kulingana.
 
Ethiopia kwenye rank ya military power kwa Afrika wapo juu mno..

Imekuaje tena mpaka wanaitwa former soldiers kusaidia? Hakika ni dalili ya serikali kuzidiwa, hivi hawa waasi wana nguvu kiasi hiki?

Naona yaliyotokea Libya ...

Israel iwasaidie basi ndugu zao..
Zile ranks hua Ni za kikuda tu.Niliona ranks za kijeshi Africa eti DRC Yuko juu ya Tz kijeshi.Nikasema huu Ni ufala jazz band.
 
Hili swali niliuliza kwenye jukwaa la Kenya news and politics,sikupata jibu, yaani mm nashangaa, Ethiopia kupigwa Kama watto na kakikundi ka TPLF Wana ndege,drones,vifaru etc,kitu amabcho siamini Kama waasi wanavyo vyote hivyo.
Kwa kifupi zaidi ipo hivi, hao unaowaita kakikundi ndio walitawala Ethiopia kwa miongo mitatu iliyopita kabla ya kumuachia Abiy madaraka na baada ya hapo Abiy akauvunja muungano uliomuweka madarakani wa TPLF na kuunda wake mpya unaitwa PP.

Ni sawa na kilichotokea DRC, leo hii Kabila na wenzake wanamlia timing Tshisekedi akizingua tu wanamkaba kolomelo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom