Zillion
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,389
- 1,889
Natamani mzee wangu urudi hapa usome hizi comments.
Binafsi natamani huyu kiumbe AFE hata leo
Sina namna nyingine ya kueleza machungu yangu dhidi ya uzalimu wa serikali hii, ni zaidi ya wakoloni
Kila mtu analia tumekuwa watumwa kwenye taifa letu.
Wafanyabiashara wanatekwa, wananyanyaswa na kufungiwa biashara
Wafanyakazi wanalia, wanatia huruma mno wanavyodhalilishwa kila siku na viongozi wa ccm ( juzi tu tumeshuhudia daktari akimpigia magoti kada wa ccm), wanatishwa kwenye vikao, walimu wanacharazwa viboko
Wakulima wamekosa pa kusemea mahindi mbaazi, choroko kunde hakuna pa kuuza vinaoza huko vijijini
Wanasiasa wanapigwa riasasi hadharani badala ya kufanya uchunguzi, mgonjwa anavuliwa ubunge
Wanahabari wanatekwa wanapigwa, wanabambikiwa kesi kwasababu wanasema ukweli
Mkuu wa nchi anapaswa kujua yeye sio Mungu, nchi haiendeshwi kwa visasi chuki, upendelo na double standards.
Huwezi ukawafukuza walimu wenye vyeti feki halafu ukamuatamia Bashite halafu unataka watu wakupende HOW?!