Hali ya utaifa inatisha

Hali ya utaifa inatisha

Ccm Mungu anawaona, yaani wananchi wamewakabidhi nchi vizuri kwa amani miaka yote toka uhuru, halafu nyie mmeenda kuikabidhi kwa shetani, Mungu anawaona.
 
Sijui wengine wanaona kile kile ninachokiona mimi. Kama ni hivyo basi inatisha kwa kuwa sijawahi kuona hali hii ikijiri katika nchi yetu pendwa tangu ninakuwa mtu mzima miaka ile ya 1960s'.

Katika historia ya taifa letu siku zote watanzania tumekuwa tunaunganika katika masuala yenye maslahi ya taifa. Lakini katika miaka ya hivi karibuni tunaanza kuona baadhi ya watu wakifurahia pale nchi yetu inapokuwa imeshikwa pabaya.

Kwa mfano hivi sasa kuna hili suala la ndege yetu kuzuiliwa huko Afrika Kusini. Kuna watu wanashangilia. Kuna watu walishangilia pale IMF ilipotoa takwimu zake kuhusu kukua kwa uchumi kwa kuonyesha ukuaji wa 5% tofauti na takwimu za serikali zilizoonyesha ukuaji wa 7.1%.

Hata kwenye mashindano ya Afcon yaliyoisha hivi karibuni huo Cairo kuna watu walioshangilia pale tulivyofungwa na Kenya!

Kwa ufupi chochote kile kinachoonyesha Tanzania inafanya vibaya kinafanya baadhi ya watu wafanye sherehe. Kwa hakika hali hii haipendezi.

Nini kimetokea hadi tukafika mahali watu wanafurahi nchi yao ikishikwa pabaya? Tutafakari na tufanye kile Waingereza wanasema "soul searching". Haipendezi tukiendelea hivi kama taifa.
Tuanze na ndani. sasa hivi CCM wanafanya mikutano kila mahali, jana tu nimeona mabasi ya wanaccm wamevalia sare zao pale Muhimbili, sijui walifuata nini, kutoa damu? lakini kwa nini hivi sasa. Lakini wenzao wa upinzani hawaruhusiwi kabisa kufanya mikutano japokuwa ndani ya miezi michache ijayo kutakuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa. huu ni ubaguzi wa kiwango cha juu sana. hivi Magufuli amesahau kwamba asilimia 6 ya watanzania walipigia kura upinzani katika uchaguzi mkuu wa 2015? hao anawaweka wapi anapofanya hayo anayofanya?. ni kama vile kuna watoto wa mama wakambo na watoto wa kufikia. wa mama kambo wanapewa chakula kizuri, wa kufikia wanapewa ukoko. sasa akija mgeni, au wakipelekwa out, wote wanatazamiwa kushangilia na kutetea maslahi ya FAMILIA. Wakinuna utawalaumu kuanzia wapi?
 
Sijui wengine wanaona kile kile ninachokiona mimi. Kama ni hivyo basi inatisha kwa kuwa sijawahi kuona hali hii ikijiri katika nchi yetu pendwa tangu ninakuwa mtu mzima miaka ile ya 1960s'.

Katika historia ya taifa letu siku zote watanzania tumekuwa tunaunganika katika masuala yenye maslahi ya taifa. Lakini katika miaka ya hivi karibuni tunaanza kuona baadhi ya watu wakifurahia pale nchi yetu inapokuwa imeshikwa pabaya.

Kwa mfano hivi sasa kuna hili suala la ndege yetu kuzuiliwa huko Afrika Kusini. Kuna watu wanashangilia. Kuna watu walishangilia pale IMF ilipotoa takwimu zake kuhusu kukua kwa uchumi kwa kuonyesha ukuaji wa 5% tofauti na takwimu za serikali zilizoonyesha ukuaji wa 7.1%.

Hata kwenye mashindano ya Afcon yaliyoisha hivi karibuni huo Cairo kuna watu walioshangilia pale tulivyofungwa na Kenya!

Kwa ufupi chochote kile kinachoonyesha Tanzania inafanya vibaya kinafanya baadhi ya watu wafanye sherehe. Kwa hakika hali hii haipendezi.

Nini kimetokea hadi tukafika mahali watu wanafurahi nchi yao ikishikwa pabaya? Tutafakari na tufanye kile Waingereza wanasema "soul searching". Haipendezi tukiendelea hivi kama taifa.
Ubaguzi mnaanza wenyewe kwa kjiita wazalendo namba 1 eti wngine siyo wazalendo na mengine mengi mnayo yafanya kwaakili zenu mnaona mnapatia. keki ya Taifa mnagawana wenyewe na familia zenu na wale watu wasiojulikana je? ''people have tired faces because they are miserable you cant see them''
 
Mtu anashangilia ndugu yake wa damu anapopata matatizo leo unaongelea utaifa! Kila mtu anaukichaa wake kichwani.

MAGUFULI4LIFE
 
Kumbukizi ....nilijua shetani yuko state house ........nipale watu wa dini walipo jikusanya kutaka kuombea watu wa pinzani waliopata majanga kama lisu ...mbowe, matiku polisi wakawa wanakuja kuwaondoa nilishangaaa sana nakati mtu kama yule akiombewa lazima na mkulu na yeye angeombewa ......kwa kweli yamefanyika mengi kwanzia uongo,mauji ya raia wasiokua na watu kuzulumiwa haki zao hatakama ,ubabe usiokuwa walazima ,majibu ya shombo ,ukatili ambao mpaka leo kuna wanalipia gharama ya hivyo vitu vyote iwe kwa lawama,damu,mda ,uhai ......matokeo ndo hayo
Tatizo ni kwamba, kisaikolojia, ukiombewa na viongozi wa dini, hata kwangu mtu nisiyeamini uwepo wa Mungu, kitendo cha mpinzani kuombewa na viongozi wa dini ni kitendo cha kuonesha kwamba mpinzani huyo.

1. Anakubalika na viongozi wa dini.
2. Anahurumiwa na viongozi wa dini.
3. Viongozi wa dini wanamtakia mema.

Sasa kuna watu wanataka wao tu ndio wakubalike, akikubalika mwingine nongwa.

Hapo itaona udhaifu unaoitwa "insecurity". Kimtaa tunasema mkubwa anajistukia na hana kujiamini.
 
Back
Top Bottom