General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,275
- 2,643
- Thread starter
- #21
Hupewa majibu MEPESI.Serekali ya mtaa/kijiji wao wamefuatilia,
Hupewa majibu MEPESI.Serekali ya mtaa/kijiji wao wamefuatilia,
Wenzetu wanakula bataUpanga
Naja wasap inbox
Huko umeme haukatikiWenzetu wanakula bata
Nitoe taarifa alafu nite...Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe
Namba ya nyumba
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 180
WhatApp: 0758346869.^MY
🤣🤣🤣Nitoe taarifa alafu nite...
Maelezo yanajitosheleza...wao wanataka majina yangu na sehem nayo kaa🤣
Waamini tu hawa wanashughulika na umeme sio watu 🤣🤣Maelezo yanajitosheleza...wao wanataka majina yangu na sehem nayo kaa🤣
Habari Ndugu mteja, Lengo la kuomba utupatie taarifa zaidi kuhusu changamoto hiyo ni ili tuweze kuifanyia ufuatiliaji na kuwafikishia wataalamu wetu kwa hatua zaidi. ^PKNitoe taarifa alafu nite...
LEO TENA KIJIJINI KWETU NGERNGER MOROGORO.UMEME UMEENDELEA KUWA JANGA MPAKA SASA HAKUNA UMEMEHabari Ndugu mteja, Lengo la kuomba utupatie taarifa zaidi kuhusu changamoto hiyo ni ili tuweze kuifanyia ufuatiliaji na kuwafikishia wataalamu wetu kwa hatua zaidi. ^PK
Habari General Nguli asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,LEO TENA KIJIJINI KWETU NGERNGER MOROGORO.UMEME UMEENDELEA KUWA JANGA MPAKA SASA HAKUNA UMEME
Elewa umeme hakunaHabari General Nguli asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Wilaya
Kata
Mtaa
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe
Namba ya nyumba.^FL
Habari, Ndugu Mteja, na asante kwa taarifa zako.Elewa umeme hakuna
Mkoa Morogoro
Morogoro vijijini.
Kijiji Ngernger
Tumekuwa na kadhia ya Umeme miaka yote kwa maana haijawahi tokea umeme usikatike kila siku
Magu alisema " mtanikumbuka" tena kwa mazuri.Huku kwetu NGERNGER MOROGORO BADO TUNA TESEKA SANA NA TATIZO LA UMEME BILA TAARIFA WALA MAELEZO YOYOTE.
BADO TUNAISHI GIZANI KAMA ZAMA ZA MAWE.
MAREKEBISHO NI JIBU FUPI TANESCO NDILO WANALO JIBU.
HAWANA MUDA WALA SAA MAALUMU NA BILA KUJALI WAO WANA SITISHA HUDUMA VILE WAONAVYO.
Nyie Jamaa vp? Hiyo huduma ya raia wote huko Ngerengere mshughulikie tatizo hilo huko kwa wote.Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,
Jina
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Kitu maarufu karibu na wewe
Namba ya nyumba
TANESCO Huduma Kwa Wateja
SIMU: 180
WhatApp: 0758346869.^MY
Habari AI BRAINFULL , asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo.Nipo mkoa wa kilimanjaro wilaya ya sama umeme hakuna umekatika tokea saa tatu
Habari babukijana, asante kwa kuwasiliana nasi.Nyie Jamaa vp? Hiyo huduma ya raia wote huko Ngerengere mshughulikie tatizo hilo huko kwa wote.
Majina yake, na no za simu za nini tena.
Habari, Ndugu Mteja.BADO TUNAENDELEA NA KUTESEKA NA UMEME HAPA KIJIJINI KWETU NGERNGER MKOA WA MOROGORO.
SASA LEO ZOEZI WALILONALO NI KUKATA NA KUTUDISHA PUNDE KWA PUNDE BILA TAARIFA WA KUJALI HALI ZA WATU