Hali ya mgonjwa wetu si shwari

Hali ya mgonjwa wetu si shwari

mtima nyongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
1,947
Reaction score
2,047
Pamoja na maonyo ya watu wazima ya kwamba mgonjwa wetu yu mahututi hata mkimpa dawa ni sawa na kujisumbua maana ile pumzi ya uhai imeshakata.

Lakin kwa kuwa bado tulikua na imani na mgonjwa wetu na bado tulimhitaji ikatubidi tuwe na kichwa ngumu na kutosikiliza maneno ya watu wazima.

Tukampa dawa ili angalau asogeze siku za kuishi japo hata miaka 5 lakini naona kama tulimzidishia dozi maana aliinuka kwa sipidi sana na muda mwingne wanandugu tukapata matumaini ya kwamba sasa mgonjwa wetu kapona.

Lakini hata mwaka aujaisha toka tumpe dawa naona ameanza kulegalega kila uchwao sasa sijui kama tutafika nae hiyo miaka mitano au ndio atatufia njiani sijui ila ni maombi tu ndio yanahitajika kwa sasa wananzengo.
 
Pamoja na maonyo ya watu wazima ya kwamba mgonjwa wetu yu mahututi hata mkimpa dawa ni sawa na kujisumbua maana ile pumzi ya uhai imeshakata
Lakin kwa kuwa bado tulikua na imani na mgonjwa wetu na bado tulimhitaji ikatubidi tuwe na kichwa ngumu na kutosikiliza maneno ya watu wazima,
Tukampa dawa ili angalau asogeze siku za kuishi japo hata miaka 5 lakini naona kama tulimzidishia dozi maana aliinuka kwa sipidi sana na muda mwingne wanandugu tukapata matumaini ya kwamba sasa mgonjwa wetu kapona.
Lakini hata mwaka aujaisha toka tumpe dawa naona ameanza kulegalega kila uchwao sasa sijui kama tutafika nae hiyo miaka mitano au ndio atatufia njiani sijui ila ni maombi tu ndio yanahitajika kwa sasa wananzengo
nimekuelewa mkuu ila hata sisi ndg wa ndan tumemchoka sana.... afe tu ikiwezekana hata kabla ya io miaka mitano maana kaua uchumi wa familia kila dawa... chakula anataka yy... loooh kibaya zaid wanandg na majirani tukimshaur n mbishiiiii hatusikiliz...
afe tu kwakwel
 
Migonjwa ya design yake huwa haifi haraka na ina maudhi balaa. Gonjwa bishi hata kwa madaktari, yani hata dawa za kumtibu yeye mwenyewe anataka kujipangia ilihali tiba aijuae yeye ni za tunguri na kupiga ngoma za kupunga majini.
 
Hata haya tunauoyasema mgonjwa wetu akiyasikia aweza kutukata midomo.huyu mgonjwa ni hatari sana.
 
Alisha sema....
Yeye hajaribiwi..
Na akasisitiza, atakae ingia barabarani eti ana andamana September 1, atakiona cha mtema kuni..
Haaaaaa Huyu mgonjwa apelekwe Rwanda au Uganda huko kutamfaa kimatiibabu
 
Ngoja tuanze kutunga nyimbo za kusikitisha mgonjwa wenu akichukuliwa full mapambio sijui kama atatoboa 5 kwa dozi alizomeza
 
Back
Top Bottom