Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,951
- 6,624
Nimefungua Quraan,at random,na aya ya kwanza niliyoiona ni hii:
"Ewe Nabii! Endelea daima kwenye kumcha Mwenyezi Mungu kwa kuyafanya maamrisho Yake,na waumini wakufuate kwa kuwa wao wanahitajia hilo zaidi kuliko wewe,na usiwatii makafiri na watu wa unafiki. Hakika Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa kila kitu,ni Mwenye hekima katika uumbaji Wake,amri Zake na uendeshaji mambo Wake.
Unajua niliamka asubuhi and I heard a voice saying,"Ukimtaja Allah,mtaje pia na Mtume Wake Muhammad.