- Thread starter
- #41
🤣🤣🤣wimbi la tatu litakuja na mengi.COVID 19 ni ya kishwaini mno japo kuna koloni langu limeanza kuntafuta kwa fujo toka juzi...ila kwa sasa hali ya mifuko yangu ina matundu makubwa zaidi ya virusi vya Corona