Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Kulalamika kupo, hasa siku za mwanzoni, ukizoea shida utakubaliana nayo tu kwa kuwa hakuna namna ya kuikimbia.Mmh binadamu tunavyojuaga kulalamika. Mtu ana ndoto ya kufanya kitu fulani, basi isipotimia, atakavyolalamika kwa Mungu asahau na mema mengine yote mweee