Hali ya kupooza kwa mwanadada Wakonta

Hali ya kupooza kwa mwanadada Wakonta

Pole sana mkuu wangu, Mwenye enzi yote akupiganie.
It's so sad, somebody has said this problem is not curable. I have such problem too but fortunately my hands work ... I got so much pain to hear that it's not curable. I blame myself to pass through this thread. Anyway pole wakonta mm ndugu yako km nawe unapitaga uku.
 
Mabazazi bado watammendea hivyo hivyo alivyo
Mzee siyo mabazazi, anahutaji mtu wa kupendana naye kama watu wengine maana anafeelings pia. Sema yule demu anamaconfo sana. Mie napitia changamoto kama yake japo nina nafuu zaidi kwakuwa mikono yangu inafanya kazi. Sijawahi kuthubutu wala kujizuga kutafuta mpenzi
 
Sawa mkuu una miaka mingapi? Hujawahi kumpenda mwanamke yeyote? Unaogopa nini?
Mzee siyo mabazazi, anahutaji mtu wa kupendana naye kama watu wengine maana anafeelings pia. Sema yule demu anamaconfo sana. Mie napitia changamoto kama yake japo nina nafuu zaidi kwakuwa mikono yangu inafanya kazi. Sijawahi kuthubutu wala kujizuga kutafuta mpenzi
 
She is very beautiful
Mungu azidi kumpa heri na faraja

Naona kashajikubali and she is so happy
Reference:Instagram
 
Mzee siyo mabazazi, anahutaji mtu wa kupendana naye kama watu wengine maana anafeelings pia. Sema yule demu anamaconfo sana. Mie napitia changamoto kama yake japo nina nafuu zaidi kwakuwa mikono yangu inafanya kazi. Sijawahi kuthubutu wala kujizuga kutafuta mpenzi
Usijali dear
Unaweza pata mpenzi wa kuongea nae ya moyoni
 
Mzee siyo mabazazi, anahutaji mtu wa kupendana naye kama watu wengine maana anafeelings pia. Sema yule demu anamaconfo sana. Mie napitia changamoto kama yake japo nina nafuu zaidi kwakuwa mikono yangu inafanya kazi. Sijawahi kuthubutu wala kujizuga kutafuta mpenzi
Kuhusu feelings naweza kataa sababu maelezo humu yanaonesha kuwa kuanzia kifuani kwenda down ni zero function so hawezi kupata ile hamu kabisa ati apate wa kumuingilia kimwili apate raha so labda aombe mtu amtest au akifikilia kuzaa am sure watatokea wa kumuoa au kumzalisha you never know...

Ati umesema nawe unazo changamoto kama za huyo? Tuelezee kulikoni na inamaana wewe unapata feelings za kike kabisa za kutaka kudo but hali yako inakufanya usitake enh! Poleni sana in advance
 
Kutoka Moyoni Nampenda Sana Wakonta. Isingekuwa Tayari Nina Mke Kwa Namna Yoyote Ningetangaza Nia Kwa Wakonta.
 
Yupo kwenye mahusiano na mkaka wa kitanzania anayeishi marekani nami najiuliza anafanyaje lile tendo?
Sorry,Kwani nanihii imejiziba? Shida ni sensing tu ila hadi Periods atakuwa anapata.

Kwa hiyo akihitaji mtoto atampata tu

Kikubwa ni hizi hospital zetu sidhani kama zinaweza kumsaidia kufuatilia maendeleo ya ujauzito hadi akajifungua salama maana atahitaji uangalizi wa karibu.
 
Kuna yule kijana wa kiarabu kutoka Tanga nae ni kama Wakonta na alichangiwa 100M kama sijakosea akaenda China kwa matibabu zaidi but still yupo kitandani.

Inabidi watu tuishi kama vile hakuna kesho ili hata yakikupata haya hauna cha kujutia kutokukifanya ulipokuwa fit.

Huyo Kibibi Mmari aliyemgonga Wakonta sijui huwa anajisikiaje tu maana ni mtu mzima kwa sasa.
 
A naitwa Ahmed Albaity
Kuna yule kijana wa kiarabu kutoka Tanga nae ni kama Wakonta na alichangiwa 100M kama sijakosea akaenda China kwa matibabu zaidi but still yupo kitandani.

Inabidi watu tuishi kama vile hakuna kesho ili hata yakikupata haya hauna cha kujutia kutokukifanya ulipokuwa fit.

Huyo Kibibi Mmari aliyemgonga Wakonta sijui huwa anajisikiaje tu maana ni mtu mzima kwa sasa.
 
Kuhusu feelings naweza kataa sababu maelezo humu yanaonesha kuwa kuanzia kifuani kwenda down ni zero function so hawezi kupata ile hamu kabisa ati apate wa kumuingilia kimwili apate raha so labda aombe mtu amtest au akifikilia kuzaa am sure watatokea wa kumuoa au kumzalisha you never know...

Ati umesema nawe unazo changamoto kama za huyo? Tuelezee kulikoni na inamaana wewe unapata feelings za kike kabisa za kutaka kudo but hali yako inakufanya usitake enh! Poleni sana in advance
Duh! Kwanza nitake radhi, mm sipati feelings za kike kwakuwa mm si mwanamke. Nimeamua kutojiiingiza kwenye suala la mapenzi kwakuwa bado ninachangamoto nyingi za kutatua kwasasa lakini hisia zipo kama zamani tu. Hisia ni kitu kingine kabisa. Nilipooza kuanzia kifuani mpk nyayo za miguu.

Nilikuwa siwez hata kuzuia haja zisitoke lkn feelings zilikuwepo na nikiona nudes nasimamisha dushe fresh tu. Hisia zinaanzia kichwani mzeebaba so hata yule demu atakuwa anahisi japo hana uwezo wa kunyanyua wala kusogeza viungo vyake ndomaana anaweza kupee na kupoo.
 
Kutoka Moyoni Nampenda Sana Wakonta. Isingekuwa Tayari Nina Mke Kwa Namna Yoyote Ningetangaza Nia Kwa Wakonta.
Itakuwa unamoyo mwepesi, angalia isijekuwa unamhurumia then unadhani unampenda.
 
Kama hospitali haiwezekani basi apelekwe kwenye huduma ya kiroho kwa TB Joshua kwa maana wiki iliyopita niliona mtu aliyepooza kule Korea akisimama toka alipokuwa amelala. Inawezekana shetani kaweka mkono wake
Hii nayo ni point ya msingi pia.. wenye ukaribu naye wampe msaada wa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom