Hata mimi nimeguswa sana na huyu dada, sisi tuliowazima tushukuru sana mungu, hebu fikiria unasaidiwa kuanzia kupiga mswaki, kunawa uso, kula, hata kulala mpaka kuamka, mungu awatie nguvu wanaomhudumia maana wanamtihani mkubwa, fikiria ukijisaidia hajui kama kajisaidia mpaka umuangalie, mungu naomba tuepushe na mitihani mikubwa kama hii........nakijaliwa kupata mtoto wa kike nitampa jina la WAKONTAKupitia binti Wankota nimemuona Mungu kwa namna ya ajabu sana, nimeona Mali, uzuri, elimu, vya dunia hii, vinaweza zimika dakika yoyote,,hakuna binadam mwenye mamlaka navyo.
hata mimi nimeguswa sana na huyu dada, sisi tuliowazima tushukuru sana mungu, hebu fikiria unasaidiwa kuanzia kupiga mswaki, kunawa uso, kula, hata kulala mpaka kuamka, mungu awatie nguvu wanaomhudumia maana wanamtihani mkubwa, fikiria ukijisaidia hajui kama kajisaidia mpaka umuangalie, mungu naomba tuepushe na mitihani mikubwa kama hii........nakijaliwa kupata mtoto wa kike nitampa jina la WAKONTA
Halafu ni mzuri kweli kweliNa bado Wakonta amevaa sura ya furaha, sioni chuki akiongea.
Mkuu hiyo ahadi usipo itimiza litakalokupata shauri yako mwenyewehata mimi nimeguswa sana na huyu dada, sisi tuliowazima tushukuru sana mungu, hebu fikiria unasaidiwa kuanzia kupiga mswaki, kunawa uso, kula, hata kulala mpaka kuamka, mungu awatie nguvu wanaomhudumia maana wanamtihani mkubwa, fikiria ukijisaidia hajui kama kajisaidia mpaka umuangalie, mungu naomba tuepushe na mitihani mikubwa kama hii........nakijaliwa kupata mtoto wa kike nitampa jina la WAKONTA
Mkuu labda nisijaliwe kupata mtoto wa kike, naomba mungu anisaidie pia nitimize hiloMkuu hiyo ahadi usipo itimiza litakalokupata shauri yako mwenyewe
Cc mshana jr
Wala hatamani kufa. Bado anapigania ndoto zake, kwa nini tusimshukuru Mungu kwa jinsi tulivyo?Na bado Wakonta amevaa sura ya furaha, sioni chuki akiongea.
Maneno huumba na ukiweka nadhiri kumbuka kuiondoaMkuu hiyo ahadi usipo itimiza litakalokupata shauri yako mwenyewe
Cc mshana jr
Ni ujasiri wa ajabu kabisa ambao ni wachache sana wanaoWala hatamani kufa. Bado anapigania ndoto zake, kwa nini tusimshukuru Mungu kwa jinsi tulivyo?
Mmh binadamu tunavyojuaga kulalamika. Mtu ana ndoto ya kufanya kitu fulani, basi isipotimia, atakavyolalamika kwa Mungu asahau na mema mengine yote mweeeNi ujasiri wa ajabu kabisa ambao ni wachache sana wanao
Mmh binadamu tunavyojuaga kulalamika. Mtu ana ndoto ya kufanya kitu fulani, basi isipotimia, atakavyolalamika kwa Mungu asahau na mema mengine yote mweee
Yani Mungu atusamehe tu, maana huwa tunakufuru kwa kulalamikaNahisi ujasiri wa huyu binti umetibu tabia za watu wengi kwa sasa, nahisi kila Mtu amejikosoa na kumshukuru Mungu.