Babaanyi
Senior Member
- Aug 10, 2012
- 114
- 43
Drs habarini, ninaomba kufahamishwa Hali halisi ya dada mlemavu anaeandika script kwa ulimi, Je Ile ni stroke ya aina gani, maana inasemekana kila kitu hakifanyi kazi chini ya Shingo, ni kichwa tu.
1. Je. Ni kweli Hasikii Njaa na anakula kama wajibu tu?
2. Je, ni kweli hahisi haja, yani yanatoka yenyewe tu ila yeye hajui kama imetoka.
Haya maswali kama ni kweli, basi kivip inakuwa hivyo yani hasikii njaa na hasilii haja ila yanatoka tu.
Jambo hili linaniumiza sana ufahamu wake, na kwa Kuwa Mimi sio MD, inanilazimu niwaletee wadau kupata majibu angalau ya uhakika.
Asanteni.