Hali ya Kamanda David Silinde taabani Jimboni kwake-Mbozi

hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

Alete maji kutoka wapi?.
 
Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.

Kwa nini mnasema chagua mbunge.............. Akuletee maendeleo? Acheni kuvuta bangi inadhuru
 
Lizaboni inaonekana ni jinsi gani unakurupuka jamvini silinde kutumia pesa yake mfukon kutuchimbia visima .baada ya chama cha mapinduz kutelekeza takirbani miaka 50 kwa kifup njoo tunduma na momba utaona mambo aliyoyafanya silinde
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

Silinde anaenda momba,juzi kawaita wananchi wa mbozi amewaaga mbona hawakuamuambia hizo habar?uko dar unaiifanya unayajua ya mbozi?
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.
View attachment 270200
Unazungumzia Silinde au Lusinde!
 
Hii dhana potofu kuwa mbunge ana wajibu wa kupeleka huduma za jamii kama maji hospitali na barabara jimboni kwake ndio imetufikisha kwenye hali tuliyonayo ya kugeuza uchaguzi kuwa gulio kubwa la kuuza na kununua kura. Watu wanachagua mafisadi wakidhani kuwa watawapelekea huduma za jamii kwa kutumia pesa zao binafsi.
 
Swali kwa mleta mada, inamaana watu wa mbozi walianza kutumia Maji baada ya silinde kuwa MBUNGE? Huyo aliyemtangulia mbona hakuyaleta,kwa miaka 50 ccm hawakuleta hayo Maji au toka Uhuru hili jimbo halijawahi kuwa MBUNGE?
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/885968-mapokezi-ya-david-silinde-ni-ushahidi-chadema-mlifanya-makosa-10.html#post13318714
 
Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.

Issue siyo nani alisema nini su kazi ya serkali ni kulima au kuvua samaku. Mhe Mbunge aliahidi ataleta ambulance, atawapa ajira bodaboda, akakataza wananchi wasijenge maabara wakamdharau. Alitoa ahadi. Hakutimiza ahadi. Ale matapishi yake au aachie ngazi. WM
 
Swali kwa mleta mada, inamaana watu wa mbozi walianza kutumia Maji baada ya silinde kuwa MBUNGE? Huyo aliyemtangulia kwa miaka 50 mbona ccm hawakuleta hayo Maji au toka Uhuru hili jimbo halijawahi kuwa na MBUNGE?
 
Hii dhana potofu kuwa mbunge ana wajibu wa kupeleka huduma za jamii kama maji hospitali na barabara jimboni kwake ndio imetufikisha kwenye hali tuliyonayo ya kugeuza uchaguzi kuwa gulio kubwa la kuuza na kununua kura. Watu wanachagua mafisadi wakidhani kuwa watawapelekea huduma za jamii kwa kutumia pesa zao binafsi.

Hata hao mafisadi hawajawahi kupeleka hayo maendeleo.
Ingekuwa mafisadi wanapeleka maendeleo majimboni kwao, basi kwa chenge au karamagi kungekuwa dubai.
 
Ndio maana nimeiita dhana potofu. Hakuna mtu binafsi anayeweza kutumia pesa zake binafsi kuleta huduma endelevu za kijamii kama barabara, elimu na afya. Kazi ya mbunge au diwani ni kuisimamia serikali ya eneo husika ifikishe pesa za maendeleo kwenye sehemu husika na kwa matumizi yanayotarajiwa (value for money). Tunaishia kuchagua watoa rushwa wanaotafuta fursa za kupata zabuni za kujenga barabara fake, shule fake, na vituo vya afya fake na kuwaacha wananchi wakilalama kila siku kwa kukosa huduma za kijamii.
 
Sipati picha kama mjadala ungekuwa face to face huu, msalaba mwekundu wangekuwa busy sn leo
 
Ili Jamaa Lizaboni limeanzisha kitu halafu limeona kimenuka wamelishika pabaya limetoweka
 
Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.
Andrew Chenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom