Hali ya Kamanda David Silinde taabani Jimboni kwake-Mbozi

Hali ya Kamanda David Silinde taabani Jimboni kwake-Mbozi

Unaweza ukawa umejivesha akili za Kondoo au Nguruwe kwa kutokujua wajibu wa Mbunge na wajibu wa Serikali na kwa jinsi ulivyo sidhani kama utaondokana na umbumbumbu ulionao na kama ni mzazi wa famili utaiharibu familia yako kwani mzazi ni kiungo muhimu sana kwa maendeleo ya Familia.
Khaa!! Kwahiyo mheshimiwa Mnyika alivyowaahidi watu wa ubungo kuwa ataleta maji aliwatapeli wapiga kura au naye alikuwa hajui wajibu wa mbunge? Nauliza tu. Kuuliza si ujinga
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

Ww umejuaje?tumeshakuzoea uropokajiwako.ya kwenu yamewashinda umeng'ang'ana na makamanda.Akishinndwa atachukua fisadi+gamba?
 
Lizabon Umeoa/Olewa au una familia? Achana na Silinde, sisi huku kwetu Momba hatumlinganishi na mbunge yeyote wa CCM, ACHA KUTUDHARAU WANA MOMBA. Karibu kwetu Ujionee maajabu makubwa zaidi October tutakapomwapisha Silinde kama Mbunge wetu.
Godfrey Zambi,Mwandosya,Mwakyusa wamefanyaya maajabu gani? Acha dharau wewe?
 
Huku mnajisumbua....hata jiwe likiwekwa kupitia cdm tunalipitisha.
KWADNGANYE KWENYE MIKOA YA KIJINGAJINGA SIO HUKU.
Tena sisiemu wametuadia tayari tuna majimbo mawili (tunduma na momba) bila kipingamizi
 
Lol silinde anawasumbua magamamba..hiv hao wa ccm waliokaa miaka karibu hamsin mbona hatuwaulizi....??!
 
Ulitaka maji abebe kichwani awapelekee,kama nyie magamba, mwafisadi hela za maendeleo,unataka atoe hela yake ya posho,angalia unachopost kama kinamshiko ktk jamii.
 
Kwanza Inaonenakana Umetumwa Maana Haujui Hata Silinde Ni Mbunge Wawapi, Kwa Taalifa Tu Ni Kwamba Silinde Ni Mbunge Wa Momba Na Si Mbozi Kama Ulivyoambiwa, Pili Mbunge Huyu Amekuja Kuwashukulu Wananchi Wake Amepata Mapokezi Ambayo Hata Marais Wenu Hawajahi Kupata Gali 84, Pikipiki 172, Bajaj 46, Kwenye Suala La Ahad Silinde Ametimiza Ahadi Zake Asilimia Miamoja, Amechimba Visima Vya Maji Kwa Pesa Yake Ya Mfukoni Kila Pembe Ya Mji, Amenunua Magodolo Na Mashuka Maospilini Kila Ospitali Iliyopo Jimboni Kwa Pesa Yake Ya Mfukoni, Amefanya Vitu Vingi Sana Katika Jimbo Hili, Na Ni Moja Ya Wabunge Watakaotangazwa Mapema Kabisa Baada Yakupigiwa Kura Hapo Tarehe 25 October,
 
Hivi n sashihi kuwalaumu wabunge au serikali inayokusanya kodi?mimi kwa uelewa wangu twaweza kumlaumu mbunge iwapo hakuyasema matatizo yanayo tukabiri.NB bora utawale vipofu kuliko wagonjwa ambao wakipona watakusumbua
 
Arusha mlisema hivyo hivyo kuwa wana Arusha wameichoka CDM lakini kilichotokea umekiona, kumbuka Watanzania wa sasa sio wa miaka ya sabini tangu lini Mbunge akapeleka maji jimboni kwake Serikali ina wajibu gani na je nitajie jimbo lolote lenye mbunge wa CCM ambae amepeleka maji jimboni kwake kwa nguvu na fedha zake.

Uko sahihi Mkuu, Juzi Wenje kwenye Mkutano wa hadhara Igogo aliwaambia wapiga kura wa kata hiyo, kazi za Mbunge ni kuwakilisha / kuwasemea wananchi wake Bungeni ndio maana kila Mbunge ana Mic kwenye kiti chake pia kuisimamia Serikali kutekeleza miradi mbalimbali, Hakuna Mbunge anaetumia pesa zake za mfukoni kuleta maendeleo na akatoa mfano wa aliekua Mbunge wa Nyamagana Bw. Masha ambae alitumia pesa zake binafsi kukarabati ofisi ya Mbunge lakini alipopigwa chini kwenye Ubunge akatoa vitasa kwenye milango, je mtu wa aina hiyo kama angekua amejenga hata Zahanati kwa pesa zake si angeibomoa au kuifanya Guest House kabisa?
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

kweli wewe unaota ndoto za asubuhi!
haya ndiyo mapokezi aliyopata wiki iliyopita aliporejea Mbozi.
habari kamili bofya hapa....https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/885968-mapokezi-ya-david-silinde-ni-ushahidi-chadema-mlifanya-makosa-10.html
 
Hahahahahahha ... Mataka taka ya Lumumba sijui bangi imezidi plus viroba vya jua kali ... dah!! Yaani wewe Nyomi ya wanambozi hukuona? ... Msikilizie mziki wake ndani ya Lupa ... Jamaa anachonga barabara ... UKAWA mbele kwa Mbele ...
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.
 
hali inazidi kuwa mbaya kwa mbunge david silinde jimboni kwake .

wakati mda unazida kwenda bado hajatekeleza ahadi hata moja alizoaahidi mfano kuleta maji jimboni kwake.

Pengini ni miujiza tu ndiyo inaweza kumkwamua kuweza kurudi tena bungeni

Kama hakuna nguvu za ziada zikiwemo nguvu za giza silinde ndiyo basi tena bungeni.

Ww umejuaje?tumeshakuzoea uropokajiwako.ya kwenu yamewashinda umeng'ang'ana na makamanda.Akishinndwa atachukua fisadi+gamba?
 
Silinde ni mbunge siku zote hana wakupangana naye ndani ya ccm
 
Hivi inakuaje unaleta hoja kama hii kuja kutudanganya waziwazi na mchana kweupe?

Yaani unataka kutuambia kuwa ni jukumu la David Silinde kuchimba visima au mabwawa ya maji pamoja na kujenga mtandao wa mabomba ya maji hayo kweli!???

Au unamaanisha kinyume chake kwamba serikali iliyoko madarakani chini ya CCM imeshindwa kutekeleza ILANI na SERA zake kuhusu sekta ya maji si tu Mbozi kwa David Silinde bali nchini kote??

Nimekudharau sana na hii ni uthibitisho kuwa wewe kila unachokileta humu ni uongo na ujinga mtupu!!

Hiyu mleta uzi ni chizi karogwa tena achananae,alete mgombea wa ccm bac.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom