hali ya hewa hapa MMU

Bora dada umesema maana hata mi nimeshachoka kwa kweli,yaani kila siku vitu hivohivo tu watu hatujadili mambo mengine ya msingi,hata kama tunafudishana tusivunjiane heshima na tusikerane!Yaani tena watu wanaoanzisha hizi sredi za ajabu isitoshe ni members walewale wanafanya kama kukomoa,Halafu ukisema unaambiwa wewe ndo unakinukisha!
 
a point of correction.
sikubaliani na mtoa mada kuwa siku hizi hakuna mada za kujenga.
Nipota tayari kukusanya lundo la mada za ujumbe wa kujenga kama ushahidi nikaleta hapa.
NINACHOWEZA KUKUBALIANA NAE NI KWAMBA KUNA MADA AMBAZO ZIMECHAGIZA MALUMBANO HAYO nazo ni chache.
na kwenye hizo mada za kipuuzi binafisi huwa sitii mguu na sijachangia hata moja.
LAKINI UJUMBE UMEFIKA.
na ninafikiri kitu kibaya zaidi ni kutaja ID za watu japo inawezakana msemaji akawa anaushahidi mana sisi wengine ni watazamaji tu LAKINI KWA NINI AWEKE SIRI ZA WATU HAPA KWEUPE?
 

ukiona uzi unaboa na unavunja heshima wewe bofya kitufe cha report abuse hii itasaiddia kidogo vinginevo nyuzi za upuuzi tusichangie
 

yeah na mie ndio najiuliza watu ni wale wale.........mambo ni yale yale......

Hawana mambo mengine!!!!!!!Mbona kuna mengi ya kuelimishana na kujadili......
 

Jukwaa limekuwa pia wachangiaji ni wengi najua siku zijazo tutaanza kuchanana kwa majina moja kwa moja na ndo tutakapokimbia jf.
 
Sidhani kama unayosema yana ukweli ndani yake Mshinga huyu mtu alonimention mimi simjui wala hanijui kwa namna yoyote ile kwa maana hio sina siri yoyote yakunianika na alinimention anyways,Ameweka katika judgement yake kwamba kwasababu sikubali kudhalilishwa basi nitakuwa mjuaji na nipo kama gogo kitandani!Aisee sitokaa mtu anitusi ninyamaze kimya NEVER EVER!
 
Last edited by a moderator:
ukisema kuna lundo za mada zenye kujenga hapa mmu tutabishana hadi kesho manake kama huamini rudi nyuma miaka 2 ilopita soma mada zilizokuwa hapa mmu linganisha na sasa.

Sawa siwez kulazimisha hali ibaki kama zamani lkn watu wanapaswa kujifunza in a more positive way kuliko ilivyo hiv sasa.
 

Mshinga si bora huo uhakika awe nao!!!!!unakurupuka kuongea kitu

ambacho you dont have a CLUE......you KNOW NOTHING........ITS KINDA STUPID!!!!
 
wala usikae kimya bofya report abuse
 
Jambo la msingi ni kuheshimu jinsia tofauti. Wanawake ndo maua ya dunia, hilo liko wazi. Lakini ili ua lichanue linatakiwa lipate maji, mbolea na kuondoa magugu, hapo ndipo wanaume tunapoingia. Sasa maua na mtunza bustani wanapokwaruzana kuna kinachobaki kweli?! Tujadili mada kwa kujenga na sio kudhalilishana bila kujali mada ni ya kibamia au kikwapa, na hiyo ndo maana ya kuwa great thinker and not the other way round (crazy thinker). Personally naheshimu sana wanawake simply b'coz men can't live with them and he also can't live without them! They are a bit mysterious! Poleni sana dada zangu mliotolewa kauli chafu na kaka zangu mliokwazika pia. Nang'ata bia kwanza, ntarudi baadae kidogo.
 
mimi49 kuna vitu vingine unatamani kunyamaza lakin unaona hapana vinakera.........

U speak to let it GO!!!!mie kusema ukweli huyo mgiriki amenikwaza tu....

na bora wameidelete ningedeal nae PERPENDICULAR tu........
 
Last edited by a moderator:

well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…