hali ya hewa hapa MMU

Ph-25
you have stretched beyond limit.. try to show some respect ! Pls..

mkuu nimekuelewa bna,ngoja ninyamaze coz ukimya ni jibu tosha kwa mjinga...nimeepusha shari mkuu...asante kwa kuniepushia ban
 
Last edited by a moderator:
Mmu mmeanza kuparurana sio? Safi kabisa mkimaliza kung'oana kucha na meno njooni chitchat mpumzike.
Good evening wakaka na wadada wa mmu.

Kaka mkubwa twende zetu chit chat mwaye.....tukale mvinyo kule upepo mwanana unakovuma.
 
...karibu siasani mamii,huku ishakuwa soo....bora nirudi nyumbani huku nitakuwa nachangia vya muhimu tu,vingine napotezea
 
...haaa! mbombo jilipo jamani!!! kwahiyo ndo mmefikia huku!?..haya hongera zenu, sie tunawaangalia tu
 
Bora umesema ukweli.wanaume wanapenda kwel ku2dhalilisha.MADA YA LARA NI NZUR SANA NA INAmAFUNDISHO SEMA WANAUME HAWAPEND KUAMBIWA UKWELI.

mnaona mlivyo wa binafsi yani mada inayo mdhalilisha mwanaume ni ya ku elimisha ila mada ya kumu elimisha mwanamke hiyo ni ya kudhalilisha acha kuona kama mnaonewa wakati huu ugomvi manautaka wenyewe kamfano lara 1 baada ya hii thread kaanzisha thread nyingine tena ya kuwadhalilisha wanaume kwamba oo wanakaa madongo kuinama sijui magomeni ,tandale mpaka wanaume tunashindwa kuwapeleka wasichana wetu maeneo tunayokaa je ni sawa
 
...haaa! mbombo jilipo jamani!!! kwahiyo ndo mmefikia huku!?..haya hongera zenu, sie tunawaangalia tu

mamaaaa! Shemeji yetu amevurugwa mbona anawaka hvyo? Vp Christine hebu mtulize shem wetu asijezamisha meli
 
Hii ngoma wacha waicheze wenyewe wana MMU. Ila kuna watu wanamatusi mh, nilikuwa naliheshimu ili jukwaa na kujifunza mengi humu ndani dah!
 
wapendwa wangu, kwanza labda mniwie radhi manake nia ya huu uzi haukuwa kufika hapo ambapo baadhi ya wenzetu wamefika.

Binafsi nliuleta huu uzi kwa nia njema sana ya kuelimisha na kukumbushana nidham tu hasa tuwapo hapa jamvini lakin sikuleta ili watu waanze kukumbuka ya nyuma ambayo yanaleta uchungu kisha waanze kutusiana hadharani. Hili limenikwaza sana lkn sina jinsi manake ""wasipochafuka watajifunzae??""

nawaombeni sana
Passion Lady na Ph-25 msijibizane so far hamuwez kujua may be nyie ni mtu na kaka/ dada ila tu ni kwakua hamjajua hilo kwasababu ya matumizi ya majina ya kighalatia haya.
Zahra White, na lara 1 nao pia sio watuumiwa kwenye huu uzi jamani manake umeandikwa ili kukumbushana na si kumhukumu mtu yyte hapa ndani. Hakuna mtu aliyesafi kabisa na vivyo hivyo hakuna aliye mchafu kabisa why pointing our fingers??

nihitimish kwa kusema tuish kwa amani na upendo na tuheshimiane katika kujadili mada zetu hapa jamvini.

wasalaam
gfsonwin
 

Mimi sijali anayedhalilishwa ni mdada au mkaka, sipendi kuona mtu anamdhalilisha mwenzake!
 
Dada mtoa mada nakuunga mkono kwa 100%. You are great thinker,, i like you..
 
wala sio kwamba tuko concerned ila ina kera pale mwanamke anapojadiliwa tena kwa mabaya tuuu.
Kuna memba mmoja yy alinijibu wazi kwamba wanawake ni chombo cha starehe so kutujadili ni lazima ,manake ndio starehe yenu

Na pambo la nyumba pia.
 
mamaaaa! Shemeji yetu amevurugwa mbona anawaka hvyo? Vp Christine hebu mtulize shem wetu asijezamisha meli
....akuuu ht cmtaki mambo yenyewe ndo haya!!!!?...ataniharibia wanangu bure!.......MENTOR com back to mi pls!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…