Katika hali isiyo ya kawaida watanzania wengi wenye elimu ya kupambanua mambo kiupana amabao wengi wao wamepiga kura na kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye kama tukifuta taratibu zote za uchaguzi inaonekana dhahiri shahiri kuwa kuwa kashinda na kuporwa ushindi wake.
Watu wamekuwa wakisubiri tamko lake mhusika ambaye naye amenyamaza akidai anajipanga kuna hatari kubwa ambayo inainyemelea nchi hii kwa mtindo wa kundi la watu wachache wenye uwezo wa kifedha ambazo nyingi ya fedha hizo zimepatikana kwa njia isiyo ya halali wameanza kujichwekea madarakani Rais, spika, PM. Mawaziri, wakuu wa idara mbalimbali nyeti za serikali kama vila usalama wa taifa PCCB, wakuu wa mikoa na wilaya, Makamanda na Wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika ngazi zote Na kila eneo ambalo lina maamuzi yanohusu jamii kwa kwa namna moja au nyingine zimeshikwa na mafisadi hakuna mahali ambapo huyu mtanzania wa kawaida atapona na kupata haki yake hasa baada ya kuporwa kile ambacho yeye aliona kama ukombozi wake yaani sanduku la kura ambalo mpaka sasa halijatoa jibu sahihi zaidi ya ghiliba za kisiasa na kuishia kutumia zaidi ya bilioni sitini kwa serikali na kwenye vyama sitaki hata kugusa maana huko kama CCM.
Anajua Mungu ni kiasi gani cha fedha iliyotumika tena nyingi zikiwa za mlipa kodi wa kawaida ambaye amechoka na kufikia hatua ya kumalizia hasira zake kwenye sanduku la kura kama alivyoshauri Dk. Slaa kwenye ndahalo wake na ITV siku chache kabla ya kumalizika kwa kampeni sanduku ambalo halijatoa majibu waliyokuwa wakiyatarajia na badala yake tunaendelea kuona sinema za aina mbalimbali mpaka kwenye uteuzi wa spika na hii haitaishia hapo tu itaendelea maeneo mbalimbali na kama tusipoangalia hakuna mtu yeyote atayeshika madaraka ya nchi hii bila kuwa na nguvu ya mafisadi nyuma yake wenye hela zao na masilahi yao binafsi.
Hapo ndipo shida inapoanzia hasa kwa mtu wa kawaida ambaye aliacha kazi zake na hata wengine kutokwenda kanisani ili waende wakapige kura ambayo haijatoa kile walichotarajia HASIRA YA MTANZANIA HALISI NA MPENDA MABADIILIKO INAANZIA HAPO WATU WANASUBIRI TAMKO WAINGIE BARABARANI MAANA HAKUNA KITU CHA MAANA WALICHOBAKIWA NA KUSEMA HIKI KITANISAIDIA SIKU ZA MBELE ZAIDI YA MAUMIVU KILA KONA YA MAISHA.
Tofauti na wakati mwingine maanadamo huwa ni kwa watu wanaodhaniwa kuwa ni wahuni watu waliokosa kazi wakati huu utaona wasomi wenye kazi za maana na wastaarabu kibao wako tayari kufanya lolote maana kama ccm haiko tayari kufa kwa namna yoyote ile kipindi hiki cha kidemokrasia haitakubali hicho kitokee mwaka 2015, watatumia majeshi na fedha pamoja vyombo vya habari kahakikisha kuwa nchi hii inabaki kuwa shamba la bibi.
Hakutakuwa na nafasi kama hii tuliyoipata tumechagua kiongozi pamoja na kubanwa kwa namna nyingi kuchezewa rafu mbalimbali kutoka vyombo vya ulinzi usalama na vyombo vya habari ukweli umedhihirika nani amshinda maana sijawahi kuona uchauguzi wenye mwamko wa aina hii makanisa yalifungwa na wengine kusafiri kwenda kupiga kura kwenye vituo vyao walikojiandikisha nilitoka Dar na kwenda Arusha kupiga kura na sikuumia na gharama nimeshuhudia watu wakiwachangia baadhai ya wanafunzi wa vyuo kutoka mikoani kwenda vyuoni kwao kupiga kura halafu unimbie Dk. Silaa hajashinda!
Hili tusi kubwa ambalo watanzania wametukanwa serikali yao na ikumbukwe kuwa DK. Slaa alipiga kura yake mwenyewe ambayo ni moja na zingine zote ni za kwetu TUNAOMBA ATOE TAMKO KAMA KIONGOZI SIYO KUWAGOPA VIONGOZI WA DINI WANAO BADILIKA KILA MARA VINGIVYO IMANI YETU KWAKO ITAANZA KUINGIA DOSARI NA TUNAWEZA KUKUONA MSALITI KWETU NA DEMOKRASIA KWA UJUMLA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE