Hali ya h.a.t.a.r.i tanzania

D

Derimto

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
1,306
Likes
8
Points
135
D

Derimto

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
1,306 8 135
Katika hali isiyo ya kawaida watanzania wengi wenye elimu ya kupambanua mambo kiupana amabao wengi wao wamepiga kura na kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye kama tukifuta taratibu zote za uchaguzi inaonekana dhahiri shahiri kuwa kuwa kashinda na kuporwa ushindi wake.

Watu wamekuwa wakisubiri tamko lake mhusika ambaye naye amenyamaza akidai anajipanga kuna hatari kubwa ambayo inainyemelea nchi hii kwa mtindo wa kundi la watu wachache wenye uwezo wa kifedha ambazo nyingi ya fedha hizo zimepatikana kwa njia isiyo ya halali wameanza kujichwekea madarakani Rais, spika, PM. Mawaziri, wakuu wa idara mbalimbali nyeti za serikali kama vila usalama wa taifa PCCB, wakuu wa mikoa na wilaya, Makamanda na Wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika ngazi zote Na kila eneo ambalo lina maamuzi yanohusu jamii kwa kwa namna moja au nyingine zimeshikwa na mafisadi hakuna mahali ambapo huyu mtanzania wa kawaida atapona na kupata haki yake hasa baada ya kuporwa kile ambacho yeye aliona kama ukombozi wake yaani sanduku la kura ambalo mpaka sasa halijatoa jibu sahihi zaidi ya ghiliba za kisiasa na kuishia kutumia zaidi ya bilioni sitini kwa serikali na kwenye vyama sitaki hata kugusa maana huko kama CCM.

Anajua Mungu ni kiasi gani cha fedha iliyotumika tena nyingi zikiwa za mlipa kodi wa kawaida ambaye amechoka na kufikia hatua ya kumalizia hasira zake kwenye sanduku la kura kama alivyoshauri Dk. Slaa kwenye ndahalo wake na ITV siku chache kabla ya kumalizika kwa kampeni sanduku ambalo halijatoa majibu waliyokuwa wakiyatarajia na badala yake tunaendelea kuona sinema za aina mbalimbali mpaka kwenye uteuzi wa spika na hii haitaishia hapo tu itaendelea maeneo mbalimbali na kama tusipoangalia hakuna mtu yeyote atayeshika madaraka ya nchi hii bila kuwa na nguvu ya mafisadi nyuma yake wenye hela zao na masilahi yao binafsi.

Hapo ndipo shida inapoanzia hasa kwa mtu wa kawaida ambaye aliacha kazi zake na hata wengine kutokwenda kanisani ili waende wakapige kura ambayo haijatoa kile walichotarajia HASIRA YA MTANZANIA HALISI NA MPENDA MABADIILIKO INAANZIA HAPO WATU WANASUBIRI TAMKO WAINGIE BARABARANI MAANA HAKUNA KITU CHA MAANA WALICHOBAKIWA NA KUSEMA HIKI KITANISAIDIA SIKU ZA MBELE ZAIDI YA MAUMIVU KILA KONA YA MAISHA.

Tofauti na wakati mwingine maanadamo huwa ni kwa watu wanaodhaniwa kuwa ni wahuni watu waliokosa kazi wakati huu utaona wasomi wenye kazi za maana na wastaarabu kibao wako tayari kufanya lolote maana kama ccm haiko tayari kufa kwa namna yoyote ile kipindi hiki cha kidemokrasia haitakubali hicho kitokee mwaka 2015, watatumia majeshi na fedha pamoja vyombo vya habari kahakikisha kuwa nchi hii inabaki kuwa shamba la bibi.

Hakutakuwa na nafasi kama hii tuliyoipata tumechagua kiongozi pamoja na kubanwa kwa namna nyingi kuchezewa rafu mbalimbali kutoka vyombo vya ulinzi usalama na vyombo vya habari ukweli umedhihirika nani amshinda maana sijawahi kuona uchauguzi wenye mwamko wa aina hii makanisa yalifungwa na wengine kusafiri kwenda kupiga kura kwenye vituo vyao walikojiandikisha nilitoka Dar na kwenda Arusha kupiga kura na sikuumia na gharama nimeshuhudia watu wakiwachangia baadhai ya wanafunzi wa vyuo kutoka mikoani kwenda vyuoni kwao kupiga kura halafu unimbie Dk. Silaa hajashinda!

Hili tusi kubwa ambalo watanzania wametukanwa serikali yao na ikumbukwe kuwa DK. Slaa alipiga kura yake mwenyewe ambayo ni moja na zingine zote ni za kwetu TUNAOMBA ATOE TAMKO KAMA KIONGOZI SIYO KUWAGOPA VIONGOZI WA DINI WANAO BADILIKA KILA MARA VINGIVYO IMANI YETU KWAKO ITAANZA KUINGIA DOSARI NA TUNAWEZA KUKUONA MSALITI KWETU NA DEMOKRASIA KWA UJUMLA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,332
Likes
4,819
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,332 4,819 280
Nimeshindwa kuifuatilia hii habari, haijafuata taratibu za uandishi japo inaonekana ina ujumbe mzuri. mwandishi tulia uiedit vizuri
 
U

utiyansanga

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Messages
214
Likes
0
Points
0
U

utiyansanga

JF-Expert Member
Joined May 19, 2010
214 0 0
ni kweli jamaa imla na uandishi wa ncha ni sufuri kabisa ,ebu edit bwana!
 
PAS

PAS

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2010
Messages
452
Likes
3
Points
35
PAS

PAS

JF-Expert Member
Joined May 3, 2010
452 3 35
hebu tunakuomba uedit, mana ujaacha nafasi... hadi tunashindwa kusoma.
fanya mambo mazuri hapo watu wachangie
 
E

engmtolera

Verified Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,111
Likes
85
Points
145
E

engmtolera

Verified Member
Joined Oct 21, 2010
5,111 85 145
mi nadhani umefika wakati tukubali tu kuwa sasa ni mwisho ingawaje si vizuri kuitafuta haki kwa mauwaji ila ni vyema haki ikapatikana,si shauri nguvu za vita zitumike ila nashauri sheria ichukuwe mkondo wake ili haki ipatikane,lakini watz ni wamoja hakika hatutotengana daima nawashauri ndugu zangu pamoja tutaweza tuungane kulijenga taifa letu kwani yamepita na tujiandae kukiangusha chama mbuyu 2015.
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaaaa
 
Kichwa Ngumu

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
1,732
Likes
40
Points
145
Kichwa Ngumu

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
1,732 40 145
Inaboa ifupishe
 
hashycool

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
6,432
Likes
1,457
Points
280
hashycool

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
6,432 1,457 280
:der:
Katika hali isiyo ya kawaida watanzania wengi wenye elimu ya kupambanua mambo kiupana amabao wengi wao wamepiga kura na kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye kama tukifuta taratibu zote za uchaguzi inaonekana dhahiri shahiri kuwa kuwa kashinda na kuporwa ushindi wake, watu wamekuwa wakisubiri tamko lake mhusika ambaye naye amenyamaza akidai anajipanga kuna hatari kubwa ambayo inainyemelea nchi hii kwa mtindo wa kundi la watu wachache wenye uwezo wa kifedha ambazo nyingi ya fedha hizo zimepatikana kwa njia isiyo ya halali wameanza kujichwekea madarakani Rais, spika, PM. Mawaziri, wakuu wa idara mbalimbali nyeti za serikali kama vila usalama wa taifa PCCB, wakuu wa mikoa na wilaya, Makamanda na Wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika ngazi zote Na kila eneo ambalo lina maamuzi yanohusu jamii kwa kwa namna moja au nyingine zimeshikwa na mafisadi hakuna mahali ambapo huyu mtanzania wa kawaida atapona na kupata haki yake hasa baada ya kuporwa kile ambacho yeye aliona kama ukombozi wake yaani sanduku la kura ambalo mpaka sasa halijatoa jibu sahihi zaidi ya ghiliba za kisiasa na kuishia kutumia zaidi ya bilioni sitini kwa serikali na kwenye vyama sitaki hata kugusa maana huko kama ccm.anajua Mungu ni kiasi gani cha fedha iliyotumika tena nyingi zikiwa za mlipa kodi wa kawaida ambaye amechoka na kufikia hatua ya kumalizia hasira zake kwenye sanduku la kura kama alivyoshauri Dk. Silla kwenye ndahalo wake na ITV siku chache kabla ya kumalizika kwa kampeni sanduku ambalo halijatoa majibu waliyokuwa wakiyatarajia na badala yake tunaendelea kuona sinema za aina mbalimbali mpaka kwenye uteuzi wa spika na hii haitaishia hapo tu itaendelea maeneo mbalimbali na kama tusipoangalia hakuna mtu yeyote atayeshika madaraka ya nchi hii bila kuwa na nguvu ya mafisadi nyuma yake wenye hela zao na masilahi yao binafsi na hapo ndipo shida inapoanzia hasa kwa mtu wa kawaida ambaye aliacha kazi zake na hata wengine kutokwenda kanisani ili waende wakapige kura ambayo haijatoa kile walichotarajia HASIRA YA MTANZANIA HALISI NA MPENDA MABADIILIKO INAANZIA HAPO WATU WANASUBIRI TAMKO WAINGIE BARABARANI MAANA HAKUNA KITU CHA MAANA WALICHOBAKIWA NA KUSEMA HIKI KITANISAIDIA SIKU ZA MBELE ZAIDI YA MAUMIVU KILA KONA YA MAISHA tofauti na wakati mwingine maanadamo huwa ni kwa watu wanaodhaniwa kuwa ni wahuni watu waliokosa kazi wakati huu utaona wasomi wenye kazi za maana na wastaarabu kibao wako tayari kufanya lolote maana kama ccm haiko tayari kufa kwa namna yoyote ile kipindi hiki cha kidemokrasia haitakubali hicho kitokee mwaka 2015 watatumia majeshi na fedha pamoja vyombo vya habari kahakikisha kuwa nchi hii inabaki kuwa shamba la bibi hakutakuwa na nafasi kama hii tuliyoipata tumechagua kiongozi pamoja na kubanwa kwa namna nyingi kuchezewa rafu mbalimbali kutoka vyombo vya ulinzi usalama na vyombo vya habari ukweli umedhihirika nani amshinda maana sijawahi kuona uchauguzi wenye mwamko wa aina hii makanisa yalifungwa na wengine kusafiri kwenda kupiga kura kwenye vituo vyao walikojiandikisha nilitoka Dar. Na kwenda Arusha kupiga kura na sikuumia na gharama nimeshuhudia watu wakiwachangia baadhai ya wanafunzi wa vyuo kutoka mikoani kwenda vyuoni kwao kupiga kura halafu unimbie Dk. Silaa hajashinda!! Hili tusi kubwa ambalo watanzania wametukanwa serikali yao na ikumbukwe kuwa DK. Silaa alipiga kura yake mwenyewe ambayo ni moja na zingine zote ni za kwetu TUNAOMBA ATOE TAMKO KAMA KIONGOZI SIYO KUWAGOPA VIONGOZI WA DINI WANAO BADILIKA KILA MARA VINGIVYO IMANI YETU KWAKO ITAANZA KUINGIA DOSARI NA TUNAWEZA KUKUONA MSALITI KWETU NA DEMOKRASIA KWA UJUMLA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
:der::A S 109::confused2::A S 39::A S-confused1:
 
K

kibunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
403
Likes
1
Points
35
K

kibunda

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
403 1 35
Naona kama unamshinikiza Slaa afanye unavyotaka wewe. Yaani atangaze maandamano. Nadhani hii si sahihi. Dr. Slaa ni Makini hafanyi kitu kwa shinikizo. Yeye anajua anachokifanya. Mwache kwa wakati wake atatoa tamko!
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,562
Likes
1,585
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,562 1,585 280
ndefu sana bana
 
K

kibunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
403
Likes
1
Points
35
K

kibunda

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
403 1 35
Lakini pia ukumbuke kuwa, alishasema kuwa hana mpango wa kwenda Ikulu kupitia damu za watu. Hii ina maana hatokuwa tayari kutafuta haki kwa kuhatarisha maisha ya watu. Wewe mwenyewe umesema, mafisadi wametanda kila sehemu. Serikali imeshatangaza kuwa kipauambele chake cha kwanzaa ni amani na utulivu. Hivyo, jaribio lolote la kuandamana watalipinga kwa nguvu zote. Tuwe makini na ushauri wa aina hii.
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,945
Likes
232
Points
160
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,945 232 160
Aisee hii habari!!
haina full stop hata moja.
 
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,893
Likes
39
Points
0
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,893 39 0
kifupi nimemwelewa lakini kwa shida sana.
mwanao akishikwa na simba unatakiwa kutumia busara sana kumwokoa vinginevyo na wewe unaweza kuingia matatani.
watz ni watu wastaarabu tutumie busara kuliondoa hili dudu linalokumbatia mafisadi.
 
Ngangasyonga

Ngangasyonga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2010
Messages
456
Likes
1
Points
0
Ngangasyonga

Ngangasyonga

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2010
456 1 0
Hapa kwenye JF, kuna mambo mengi ya kusoma, tafadhali fupisha, weka nafasi kwenye para, habari ni nzuri ila ukifika mbele inaanza kuboa na kuchosha macho fupisha mkuu
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,538
Likes
7,406
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,538 7,406 280
ni kweli jamaa imla na uandishi wa ncha ni sufuri kabisa ,ebu edit bwana!
Sija edit bali nimejaribu kuigawagawa katika vipande kutokana na point za mwandishi (Derimto),
Jamaa kaweka point nyingi nzuri sana, Hebu pitieni tena waungwana

Katika hali isiyo ya kawaida watanzania wengi wenye elimu ya kupambanua mambo kiupana ambao wengi wao wamepiga kura na kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye kama tukifuata taratibu zote za uchaguzi inaonekana dhahiri shahiri kuwa, Dr Slaa kashinda na kuporwa ushindi wake, watu wamekuwa wakisubiri tamko lake mhusika ambaye naye amenyamaza akidai anajipanga

Kuna hatari kubwa ambayo inainyemelea nchi hii kwa mtindo wa kundi la watu wachache wenye uwezo wa kifedha ambazo nyingi ya fedha hizo zimepatikana kwa njia isiyo ya halali wameanza kujichwekea madarakani Rais, spika, PM. Mawaziri, wakuu wa idara mbalimbali nyeti za serikali kama vile Usalama wa Taifa PCCB, wakuu wa mikoa na wilaya, Makamanda na Wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika ngazi zote, kila eneo ambalo lina maamuzi yanayohusu jamii kwa namna moja au nyingine zimeshikwa na mafisadi.

Hakuna mahali ambapo huyu Mtanzania wa kawaida atapona na kupata haki yake hasa baada ya kuporwa kile ambacho yeye aliona kama ukombozi wake yaani sanduku la kura, ambalo mpaka sasa halijatoa jibu sahihi zaidi ya ghiliba za kisiasa na kuishia kutumia zaidi ya bilioni sitini kwa serikali, na kwenye vyama sitaki hata kugusa maana huko kama CCM anajua Mungu ni kiasi gani cha fedha iliyotumika tena nyingi zikiwa za mlipa kodi wa kawaida ambaye amechoka na kufikia hatua ya kumalizia hasira zake kwenye sanduku la kura

kama alivyoshauri Dk. Slaa kwenye ndahalo wake na ITV siku chache kabla ya kumalizika kwa kampeni, sanduku ambalo halijatoa majibu waliyokuwa wakiyatarajia na badala yake tunaendelea kuona sinema za aina mbalimbali mpaka kwenye uteuzi wa spika na hii haitaishia hapo tu itaendelea maeneo mbalimbali na kama tusipoangalia hakuna mtu yeyote atayeshika madaraka ya nchi hii bila kuwa na nguvu ya mafisadi nyuma yake wenye hela zao na masilahi yao binafsi na hapo ndipo shida inapoanzia hasa kwa mtu wa kawaida ambaye aliacha kazi zake na hata wengine kutokwenda kanisani ili waende wakapige kura ambayo haijatoa kile walichotarajia

HASIRA YA MTANZANIA HALISI NA MPENDA MABADIILIKO INAANZIA HAPO WATU WANASUBIRI TAMKO WAINGIE BARABARANI MAANA HAKUNA KITU CHA MAANA WALICHOBAKIWA NA KUSEMA HIKI KITANISAIDIA SIKU ZA MBELE ZAIDI YA MAUMIVU KILA KONA YA MAISHA

Tofauti na wakati mwingine maanadamo huwa ni kwa watu wanaodhaniwa kuwa ni wahuni watu waliokosa kazi wakati huu utaona wasomi wenye kazi za maana na wastaarabu kibao wako tayari kufanya lolote maana kama CCM haiko tayari kufa kwa namna yoyote ile kipindi hiki cha kidemokrasia haitakubali hicho kitokee mwaka 2015 watatumia majeshi na fedha pamoja vyombo vya habari kahakikisha kuwa nchi hii inabaki kuwa shamba la bibi,

hakutakuwa na nafasi kama hii tuliyoipata tumechagua kiongozi pamoja na kubanwa kwa namna nyingi kuchezewa rafu mbalimbali kutoka vyombo vya ulinzi usalama na vyombo vya habari ukweli umedhihirika nani ameshinda maana sijawahi kuona uchauguzi wenye mwamko wa aina hii makanisa yalifungwa na wengine kusafiri kwenda kupiga kura kwenye vituo vyao walikojiandikisha, nilitoka Dar naa kwenda Arusha kupiga kura na sikuumia na gharama
nimeshuhudia watu wakiwachangia baadhi ya wanafunzi wa vyuo kutoka mikoani kwenda vyuoni kwao kupiga kura halafu unimbie Dk. Silaa hajashinda!! Hili tusi kubwa ambalo Watanzania wametukanwa serikali yao na ikumbukwe kuwa DK. Silaa alipiga kura yake mwenyewe ambayo ni moja na zingine zote ni za kwetu

TUNAOMBA ATOE TAMKO KAMA KIONGOZI SIYO KUWAGOPA VIONGOZI WA DINI WANAO BADILIKA KILA MARA VINGIVYO IMANI YETU KWAKO ITAANZA KUINGIA DOSARI NA TUNAWEZA KUKUONA MSALITI KWETU NA DEMOKRASIA KWA UJUMLA.

umeona unafichua utumbo...kwenye hizo red
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
8,385
Likes
2,448
Points
280
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
8,385 2,448 280
Katika hali isiyo ya kawaida watanzania wengi wenye elimu ya kupambanua mambo kiupana amabao wengi wao wamepiga kura na kumchagua kiongozi wanayemtaka ambaye kama tukifuta taratibu zote za uchaguzi inaonekana dhahiri shahiri kuwa kuwa kashinda na kuporwa ushindi wake, watu wamekuwa wakisubiri tamko lake mhusika ambaye naye amenyamaza akidai anajipanga kuna hatari kubwa ambayo inainyemelea nchi hii kwa mtindo wa kundi la watu wachache wenye uwezo wa kifedha ambazo nyingi ya fedha hizo zimepatikana kwa njia isiyo ya halali wameanza kujichwekea madarakani Rais, spika, PM. Mawaziri, wakuu wa idara mbalimbali nyeti za serikali kama vila usalama wa taifa PCCB, wakuu wa mikoa na wilaya, Makamanda na Wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika ngazi zote Na kila eneo ambalo lina maamuzi yanohusu jamii kwa kwa namna moja au nyingine zimeshikwa na mafisadi hakuna mahali ambapo huyu mtanzania wa kawaida atapona na kupata haki yake hasa baada ya kuporwa kile ambacho yeye aliona kama ukombozi wake yaani sanduku la kura ambalo mpaka sasa halijatoa jibu sahihi zaidi ya ghiliba za kisiasa na kuishia kutumia zaidi ya bilioni sitini kwa serikali na kwenye vyama sitaki hata kugusa maana huko kama ccm.anajua Mungu ni kiasi gani cha fedha iliyotumika tena nyingi zikiwa za mlipa kodi wa kawaida ambaye amechoka na kufikia hatua ya kumalizia hasira zake kwenye sanduku la kura kama alivyoshauri Dk. Silla kwenye ndahalo wake na ITV siku chache kabla ya kumalizika kwa kampeni sanduku ambalo halijatoa majibu waliyokuwa wakiyatarajia na badala yake tunaendelea kuona sinema za aina mbalimbali mpaka kwenye uteuzi wa spika na hii haitaishia hapo tu itaendelea maeneo mbalimbali na kama tusipoangalia hakuna mtu yeyote atayeshika madaraka ya nchi hii bila kuwa na nguvu ya mafisadi nyuma yake wenye hela zao na masilahi yao binafsi na hapo ndipo shida inapoanzia hasa kwa mtu wa kawaida ambaye aliacha kazi zake na hata wengine kutokwenda kanisani ili waende wakapige kura ambayo haijatoa kile walichotarajia HASIRA YA MTANZANIA HALISI NA MPENDA MABADIILIKO INAANZIA HAPO WATU WANASUBIRI TAMKO WAINGIE BARABARANI MAANA HAKUNA KITU CHA MAANA WALICHOBAKIWA NA KUSEMA HIKI KITANISAIDIA SIKU ZA MBELE ZAIDI YA MAUMIVU KILA KONA YA MAISHA tofauti na wakati mwingine maanadamo huwa ni kwa watu wanaodhaniwa kuwa ni wahuni watu waliokosa kazi wakati huu utaona wasomi wenye kazi za maana na wastaarabu kibao wako tayari kufanya lolote maana kama ccm haiko tayari kufa kwa namna yoyote ile kipindi hiki cha kidemokrasia haitakubali hicho kitokee mwaka 2015 watatumia majeshi na fedha pamoja vyombo vya habari kahakikisha kuwa nchi hii inabaki kuwa shamba la bibi hakutakuwa na nafasi kama hii tuliyoipata tumechagua kiongozi pamoja na kubanwa kwa namna nyingi kuchezewa rafu mbalimbali kutoka vyombo vya ulinzi usalama na vyombo vya habari ukweli umedhihirika nani amshinda maana sijawahi kuona uchauguzi wenye mwamko wa aina hii makanisa yalifungwa na wengine kusafiri kwenda kupiga kura kwenye vituo vyao walikojiandikisha nilitoka Dar. Na kwenda Arusha kupiga kura na sikuumia na gharama nimeshuhudia watu wakiwachangia baadhai ya wanafunzi wa vyuo kutoka mikoani kwenda vyuoni kwao kupiga kura halafu unimbie Dk. Silaa hajashinda!! Hili tusi kubwa ambalo watanzania wametukanwa serikali yao na ikumbukwe kuwa DK. Silaa alipiga kura yake mwenyewe ambayo ni moja na zingine zote ni za kwetu TUNAOMBA ATOE TAMKO KAMA KIONGOZI SIYO KUWAGOPA VIONGOZI WA DINI WANAO BADILIKA KILA MARA VINGIVYO IMANI YETU KWAKO ITAANZA KUINGIA DOSARI NA TUNAWEZA KUKUONA MSALITI KWETU NA DEMOKRASIA KWA UJUMLA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE
Kama ulianzia kwenye word processing basi tenganisha paras kwa kugonga 'return key/ enter' mara mbili kule kule kwenye word halafu copy na ku-paste hapa.
 
D

Derimto

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
1,306
Likes
8
Points
135
D

Derimto

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
1,306 8 135
Kifupi ni mgeni hapa JF. Ila nimejifunza mengi sana na ninaipenda kuisoma sana mpaka ikanifanya nijiunge.

Kwanza nitakuwa mwizi wa shukrani kama sintamshukuru Mwana jamii Kituko angalau kwa kuchukua muda wake kunisaidia kuiweka vizuri hii mada ili tuijadili kwa manufaa ya Taifa letu.

Sidhani kama kila mtu ni mwandishi mzuri ila naweza kuwa mtoa mada na wa kunielewa akanielewa tukajenga nchi.

Sidhani kama kushambuliana ni busara kwa kuzingatia hili ni jamvi kila mtu anatoa wazo lake kulingana uelewa wake halafu tunalijadili.

Pia naomba kifupi nirekebishe kwa baadhi ya waliotangulia kwa kusema kuwa ni ndefu sana na kuna mambo mengi ya kusoma hilo ni kweli ila kila mtu ana uhuru wa kusoma mada anayopenda na kuchangia akijisikia kufanya hivyo.
Niweke wazi kuwa sina nia ya kumshikiza Dk. Silaa kuchafua amani au kumwaga damu tunataka maandamano ya Amani. Tukibeba mabango majani labda na chupa za maji wakao sababisha umwagaji damu ni wale ambao wana silaha na watataka kutumia ubabe kumweka madarakani mtu asiye chaguo la wananchi wengi aliyechaguliwa na watu Milioni.5 pamoja na hila kati ya watanzania zaidi ya milioni 40. Ni kweli tunatamani kusahau yaliyopita na kujenga nchi yetu lakini tunamjengea nchi nani kama hatuna uhakika na maisha yetu ya baadaye na wa elimu za watoto wetu zaidi ya kujenga matabataka
ya walio nancho na wasio nacho KINACHONISUMBUA ZAIDI NI UZALENDO NA SIYO FUJO AU KITU KINGINE CHOCHOTE.

Mwisho nimefurahia changamoto za hapa JF. Zinanifanya nijipange zaidi kuweka mada zangu vizuri na pia wameniongezea mwamko wa kizalendo zaidi ya nilivyokuwa naamini katika mabadiliko na uzalendo zaidi.

TUTUNZE UTU WETU NA UZALENDO WETU KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VYETU.
 
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Messages
2,560
Likes
4
Points
133
Mallaba

Mallaba

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2008
2,560 4 133
kwanz aahasante sana mtoa mada hii,mada yako imeakaa vizuri sana na nina uhakika kuwa mtu ukiipitia vizuri utatambua nini ujumbe uliomo ndani yake. I do have the same feeling as you do,sometimes I do think even to migrate to other countries than being called a Tanzanian. Watanzania tu hali ya kushabikia sana lakini inapofikia swala la ufatiliaji/utekelezaji linakuwa ni gumu sana ndio maana hata wewe ulivyoelezea kuhusu ku-follow up on what we did while voting to know whether was consistence or not, people think that you are after violence.Haki inatafutwa na haiji kwa kukaa na kusema tu..hakuna shida..haiji ng'o.Angalia nchi nyingi zilizoenndelea wamepitia mambo mengi wala hawakukaa. sasa naona watanzania tumeshasahau kabisa na vyombo vya habari sasa ndio basi kabisa,hivi hata maandamano ya amani nayo ni tatizo?? Hakuna mtu anayetaka vurugu ,lakini kumbukeni kuwa watu wengi sana bado wanashauku sana ya kusikia Dr.SLAA anasema nini? hili ni swala la mhimu sana,huwezi kuwaahidi watu utaongea nao halafu ukakaa kimya ,hata waliokuwa wafuasi wako wanaweza wakaona huyu bwana sio makini.Kwa kifupi watu wako desperate na wanahitaji walau wapewe moyo ili kuvumiliana na hali halisi,lakini sio kukaa kimya.aa:A S-baby:
Kifupi ni mgeni hapa JF. Ila nimejifunza mengi sana na ninaipenda kuisoma sana mpaka ikanifanya nijiunge.

Kwanza nitakuwa mwizi wa shukrani kama sintamshukuru Mwana jamii Kituko angalau kwa kuchukua muda wake kunisaidia kuiweka vizuri hii mada ili tuijadili kwa manufaa ya Taifa letu.

Sidhani kama kila mtu ni mwandishi mzuri ila naweza kuwa mtoa mada na wa kunielewa akanielewa tukajenga nchi.

Sidhani kama kushambuliana ni busara kwa kuzingatia hili ni jamvi kila mtu anatoa wazo lake kulingana uelewa wake halafu tunalijadili.

Pia naomba kifupi nirekebishe kwa baadhi ya waliotangulia kwa kusema kuwa ni ndefu sana na kuna mambo mengi ya kusoma hilo ni kweli ila kila mtu ana uhuru wa kusoma mada anayopenda na kuchangia akijisikia kufanya hivyo.
Niweke wazi kuwa sina nia ya kumshikiza Dk. Silaa kuchafua amani au kumwaga damu tunataka maandamano ya Amani. Tukibeba mabango majani labda na chupa za maji wakao sababisha umwagaji damu ni wale ambao wana silaha na watataka kutumia ubabe kumweka madarakani mtu asiye chaguo la wananchi wengi aliyechaguliwa na watu Milioni.5 pamoja na hila kati ya watanzania zaidi ya milioni 40. Ni kweli tunatamani kusahau yaliyopita na kujenga nchi yetu lakini tunamjengea nchi nani kama hatuna uhakika na maisha yetu ya baadaye na wa elimu za watoto wetu zaidi ya kujenga matabataka
ya walio nancho na wasio nacho KINACHONISUMBUA ZAIDI NI UZALENDO NA SIYO FUJO AU KITU KINGINE CHOCHOTE.

Mwisho nimefurahia changamoto za hapa JF. Zinanifanya nijipange zaidi kuweka mada zangu vizuri na pia wameniongezea mwamko wa kizalendo zaidi ya nilivyokuwa naamini katika mabadiliko na uzalendo zaidi.

TUTUNZE UTU WETU NA UZALENDO WETU KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VYETU.
 
Forum statistics

Threads 1,237,241
Members 475,501
Posts 29,282,411